Wakuu habarini!.
Naomba kupata ufafanuzi ikiwa status ya madai yangu ya mafao status inasoma PENDING lakni nikiangalia statement salio inasoma 0.00, na Contributions inasoma NO Contributions.
Maelezo ya Malalamiko:
Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits). Nyaraka zote muhimu ziliwasilishwa kwa wakati, ikiwa ni pamoja na cheti cha daktari na fomu za madai...
Kwema wakuu,
Mkataba wangu uliisha nikaona nikachukue mafao yangu NSSF nikakamilisha taratibu zote.
Wakaniambia ni Subiri week 3
Sasa kabla ya week nikaona hela imengia Sema ilikua ni ndogo saana ila wameandika NSSF Ilala Transaction type CREDIT Ila nimeangalia account yangu salio liko...
Wakuu,
Naomba msaada wa hii status ya NSSF kwenye account yangu.
Ni week ya 4 sasa tangu nifungue madai ya pesa zangu huko ila status inasoma bado lodged.
Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao.
Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
Wadau mimi nilifungua madai ya NSSF kijitonyama mnano the 1 June 2024, nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja nitakuwa nimeingiziwa fedha baada ya ajira yangu kukoma mweI January 2024, sasa tunaelekea siku 60 bila kitu.
Je, kwa uzoefu wenu inachukua siku ngapi kupata malipo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.