Habarini ya Asubuhi Wana Moshi
Kila asubuhi, jiji la Moshi linapokea wingu la matumaini na changamoto. Hii ni kutokana na tangazo la hivi karibuni la madaktari bingwa lililotolewa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wengi walidhani kwamba tangazo hilo lilikuwa ni hatua ya kuleta afueni kwa...
In Tanzania, accessing quality healthcare is a fundamental right, yet it remains a significant challenge for many. The crux of this issue lies in the accessibility and availability of medical specialists in our public referral hospitals and major private hospitals. Despite their crucial role in...
📌 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bukoba Vijijini Ndugu Fatina Hussein Laay awakaribisha wananchi wote. Kambi ya Siku 5 mfululizo yaanza leo Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa Bobezi, Wananchi waitikia wito na wote mnakaribishwa.
Huduma za Kibingwa ambazo...
📌 Kuweka Kambi ya Siku 3 mfululizo kuanzia kesho Jumatatu Hospitali ya Wilaya- Bujunangoma kutoa huduma mbalimbali za Kibingwa, Wananchi wote mnakaribishwa.
Huduma za Kibingwa ambazo zamani zilikua zinapatikana kwenye Hospitali za Rufaa, za Mikoa na Taifani pale Muhimbili, sasa miaka mitatu ya...
Kuna madaktari nimewasikia wako mtaani ,wanajulikana kama Madaktari Bingwa wa Rais Samia.
Mwenye uelewa wa jambo hili tafadhali.
Kuna kundi jingine wanajiita wezi wa mama Samia wako songea. Haya makundi ni ya kitaalamu au ni makundi ya kisiasa?
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania wa kuwapatia tabasamu, furaha, kicheko na matumaini wagonjwa mbalimbali walioko mikoani .kwa...
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi, Dkt. Alex Mrema amesema wanatarajia kupokea timu ya Madaktari Bingwa 18 kutoka Nchini Marekani kwa ajili ya kutoa huduma ya matibabu ya upasuaji ambapo itafanyika bila malipo (bure).
Madaktari hao wanatarajia kufika tarehe...
Kinondoni Hospital imetangaza programu ya siku mbali kuwa itashirikiana na wataalamu kutoka Hospitali ya HCG ya nchini India katika kutoa huduma za kitaalamu kwa wagonjwa wa Saratani.
Akizungumzia programu hiyo leo Oktoba 3, 2023 Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya...
Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kutoa mapendekezo na mikakati ya namna bora ya Wagonjwa kuzifikia huduma sambamba na kupunguza rufaa zinazo epukika kwenda nje ya Nchi kupata matibabu.
Pia ametakiwa Wataamu wa Saratani kujikita katika kufanya tafiti za kisayansi zitazowezesha nchi kuwa na...
Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo.
Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
Katika kuhakikisha afya za Watanzania hasa wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali, kundi la zaidi ya madaktari bingwa 50 kutoka Jimbo la Califonia nchini Marekani, watakuwa nchini kutoa matibabu na ushauri wa kitaalamu bure.
Madaktari hao ambao wamebobea kwenye tiba za mifupa, nyonga na mishipa...
Watu waliowekwa karantini wilayani Bukoba Mkoa wa Kagera baaada ya kuchangamana na wagonjwa wa Marburg wameongezeka kutoka 193 hadi 205 huku Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akisema hakuna wagonjwa walioongezeka.
Waziri Ummy akiongea na waandishi wa habari katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo Machi 25...
Mkurugenzi wa sera na mipango wizara ya Afya Bw.Edward Mbaga amefungua rasmi kongamano la kimataifa la madaktari Bingwa wa ubongo Mgongo na mishipa ya fahamu ulilojikita kwenye matibabu na uchunguzi wa uvimbe kwenye ubongo, mgongo pamoja na saratani ambapo zaidi ya madaktari bingwa 200 kutoka...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar.
Dk. Mwinyi amesema timu ya madaktari bingwa kutoka China imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya kwa kutoa...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) zimeanza kutoa mafunzo maalum ya upasuaji wa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo kwa mbinu za kisasa kwa madaktari bingwa waliohitimu katika chuo hicho ambapo wagonjwa...
Sehemu ya matukio katika picha ambapo mheshimiwa rais wa Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na madaktari bingwa kutoka nchini china walipokuja Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kufanya kazi ya kutoa huduma ya Afya katika kisiwa cha Unguja kupitia hospitali ya Mnazi mmoja na...
Habari wandugu!
Poleni kwa majukumu! naomba kujua au kueleweshwa kama kuna madhara kutogeuka kwa mtoto baada ya miezi kutimia.
Tulifanya utrasound dk akatujuza kwamba mtoto hajageuka na hamna madhara yoyote atageuka tu! Sa sjaelewa vizuri, anatutia moyo au la!
Nina hofu sana jamani.
Arusha. Jiji la Arusha, limekumbwa na simanzi kufuatia vifo vya madaktari bingwa wawili ambao ni maarufu katika jijini hapa, mmoja akiwa ni mmiliki wa hospitali ya St Thomas jijini Arusha.
Madaktari hao ni Dk Lamweli Henry Makando, mmoja wa wamiliki wa hospitali ya St Thomas ambaye alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.