madaktari feki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Afya ikemee hawa madaktari feki wa mitandaoni wanaotoa shauri za kiafya zisizofaa

    Kwa mfano huyu anaambia watu watembee juani na wanywe maji yenye chumvi bila kutoa sababu zozote za kisayansi kisa tu ni mtu wa mazoezi. Huu ni upotoshaji wa makusudi unaoweza kuleta madhara kwa taifa. Afya ni kitu sensitive sana haipaswi kufanyiwa mizaha. Waziri wa afya apige marufuku watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…