Katika watu nawachukia ni madalali hata ukiwa na mali yako wanataka kupandisha kiasi kikubwa kupelekea hata kukosa wateja kwa wakati.
Tuje kwenye suala la nyumba za kupangisha:
Madalali wengi ni watu wa ajabu yani sehemu inaweza kuwa biashara hakuna ilo eneo, we ukaamua kufanya biashara na watu...