Walimu hamuwalipi, wakidai haki zao mnawafukuza, watoto wanakaa mpaka miezi 2 bila mwalimu, mnakusanya ada pesa mnapeleka kwenye makesi ya kung'ang'ania umiliki wa shule.
Kila siku mnawadanganya wazazi kwamba kituo mnarudishiwa mwakani, je nyinyi ndio serikali??
Kwaiyo mnajipangia wenyewe...
Madam Opiyo bingwa wa Chemistry aliyefanya kazi Thaqaafa secondary school zaidi ya miaka 28 ameacha kazi. Wakurugenzi wa shule za Mwanza na mikoa Jirani huu ni muda sahihi wa kunasa sahihi ya madam Opiyo.
Kwa wanaomfahamu wanaelewa nachosema, ni mchapakazi haswa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.