Walimu hamuwalipi, wakidai haki zao mnawafukuza, watoto wanakaa mpaka miezi 2 bila mwalimu, mnakusanya ada pesa mnapeleka kwenye makesi ya kung'ang'ania umiliki wa shule.
Kila siku mnawadanganya wazazi kwamba kituo mnarudishiwa mwakani, je nyinyi ndio serikali??
Kwaiyo mnajipangia wenyewe...