Barabarani unakutana na mwanamke mchuuzi maskini mwenye mtoto mgongoni,Unashusha kioo cha gari lako na kumuuuliza kwa sauti ya kijeshi
"UNAUZA BEI GANI HIVYO VITUNGUU NA HIZO NDIZI"?
Muuzaji maskini kwa upole anakujibu "shilingi elfu moja kwa kichane cha ndizi na shilingi elfu moja kwa fungu...