Rais alikuwa na lengo zuri tu kwa watumishi la kuwapandisha Madaraja lakini kazi hiyo haijakamilika kwa baadhi ya wilaya hadi July hii.
Taarifa za uhakika zinasema wilaya za mkoa wa Shinyanga kama Ushetu, Shinyanga DC, Kishapu bado Kuna malalamiko mengi.
Approval hao wasifanye watumishi...
HAKIKA MCHENGERWA, Ridhiwani na Simbachawene mmewaingiza watumishi choo cha kike, kwani pamoja na kuwatuma maafisa mbalimbali Kila Kona ya nchi kuongea na watumishi hakuna hata kimoja kilichotekelewa.
Hakuna cha Madaraja, mserereko, msawazo uliofanykka. Hii ni fedha kubwa kwa watumishi wa...
Naweza kuthibitisha Hilo kwamba ahadi ya serikali kupandisha watumishi wa umma Madaraja kawaida na kwa mserereko kwa MWAKA WA FEDHA 2023/2024 ni porojo tu kwani hakuna dalili yeyote inayoonyesha kufanya hivyo.
Watu mbalimbali wanatabainisha kwamba hawajui lengo la serikali kufanya vikao na...
Naomba ajitokeze HR mmoja aseme modality ya upandishaji madaraja..
Wadau wahusika wataelewa tu kwa sababu kila ninapocheki profile level ya cheo iko vile vile ...saaa mimi kama mm sitajali HR yyt aseme kitu
Mh. Ahadi zako haziwezi kusahaulika kamwe za kupandisha watumishi MADARAJA yao na kwa mserereko kwani ulitoa maelekezo mchana kweupe kwamba kazi inafanyika haraka sana asiachwe mtumishi yeyote kuanzia kwenye vitongoji.
Cha kusikitisha hadi Sasa ahadi hiyo haijatekelezwa na hii ni may 2024...
Hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwani serikali imerudia kusema mara kwa mara kupitia waziri wa OR Tamisemi menejimenti ya utumishi wa umma kwamba serikali itawapandisha Madaraja watumishi 81000 lakini hakuna taarifa yeyote inayotolewa kwa watumishi hao wala kubainishwa.
Hii inakatisha tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.