HAKIKA MCHENGERWA, Ridhiwani na Simbachawene mmewaingiza watumishi choo cha kike, kwani pamoja na kuwatuma maafisa mbalimbali Kila Kona ya nchi kuongea na watumishi hakuna hata kimoja kilichotekelewa.
Hakuna cha Madaraja, mserereko, msawazo uliofanykka. Hii ni fedha kubwa kwa watumishi wa...
Naomba kufafanuliwa na nielewe juu ya swala hili. maana wengine wanasema shahada yeye anafika mpaka bar ( mwisho) stashahada anaishia daraja H na astashahada anaishia daraja G? je kuna ukweli hapo?
Niende kwenye hoja.
Nimekuwa busy kusubiri daraja jipya wiki 2 saaa. Kila saa naangalia Mfumo. Nilipanda mwaka 2021, Juni tarehe 1, kutoka E kwenda F.
Sasa nasubiri kwa hamu...sasa zaidi presha niliyonayo naona wanaodai wameshaona tofauti kwenye profile ya mfumo.
Je nyie watu sio...
Mh. Ahadi zako haziwezi kusahaulika kamwe za kupandisha watumishi MADARAJA yao na kwa mserereko kwani ulitoa maelekezo mchana kweupe kwamba kazi inafanyika haraka sana asiachwe mtumishi yeyote kuanzia kwenye vitongoji.
Cha kusikitisha hadi Sasa ahadi hiyo haijatekelezwa na hii ni may 2024...
Hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwani serikali imerudia kusema mara kwa mara kupitia waziri wa OR Tamisemi menejimenti ya utumishi wa umma kwamba serikali itawapandisha Madaraja watumishi 81000 lakini hakuna taarifa yeyote inayotolewa kwa watumishi hao wala kubainishwa.
Hii inakatisha tamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.