Hivi ndivyo tunavyoweza kusema kwani serikali imerudia kusema mara kwa mara kupitia waziri wa OR Tamisemi menejimenti ya utumishi wa umma kwamba serikali itawapandisha Madaraja watumishi 81000 lakini hakuna taarifa yeyote inayotolewa kwa watumishi hao wala kubainishwa.
Hii inakatisha tamaa...