Mwishoni mwa mwezi tano, Serikali ilitoa kibali cha upandishaji madaraja kwa watumishi wa serikali. Zoezi la upandishaji likaanza rasmi mwezi wa sita ambapo baadhi ya watumishi waliona mabadiliko katika mshahara na mabadiliko katika mfumo wa ESS.
Zoezi hili limegubikwa na sintofahamu kutokana...