Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
afrika
afrika mashariki
demokrasia
dikteta
familia
inaweza
itikadi
jamii
madaraka
maendeleo
mahsusi
malezi
mwelekeo
siasa
taifa
tanzaia
waarabu
wachina
wadau
wazungu
yako
Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora.
Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
Mbunge wa Viti Maalum Esther Bulaya akizungumza siku ya Jumatatu Februari 24, 2025 kupitia kipindi cha Power Breakfast cha kituo cha habari cha Clouds FM.
"Uchaguzi ni demokrasia, kachukua fomu Tundu Lissu (Mwenyekiti wa CHADEMA taifa), kachukua fomu Freeman Mbowe (Aliyekuwa Mwenyekiti CHADEMA...
Mimi nilipokuwa mdogo ilipotokea pasipokusudi nimemuumiza mwenzangu nilikiwa naumia sana namwomba radhi na ilipotakiwa msaada za zaidi wa huduma ya jeraha lake nilimpeleka kwao kwa huruma.
Lakini viongozi wa serikali mnapopata madaraka kwanini mnakuwa hamna huruma?
Watu wanajeruhiwa,kupotea...
Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama uwezo wa aina fulani "survival of the fittest".
Kwenye nchi zenye utulivu na amani ya muda mrefu...
Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015.
Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli?
- Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida
https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
https://www.youtube.com/watch?v=VSeLKOuuolI&t=729s
Ukimsikiliza vizuri na kwa utuo imla wa Rwanda, Paul Kagame anavyoongea kwa kujiamini huku akipiga vijembe kuwa wanaomtisha ni maputo yanayoweza kutobolewa kwa sindano, unashangaa anapata wapi jeuri au ni usahaulifu wa binadamu.
Madaraka...
Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM.
Hizi...
Katika muktadha wa siasa za Tanzania, kuna changamoto nyingi zinazohusiana na utawala bora, uwajibikaji, na uhuru wa kujieleza. Viongozi wengi wanaonekana kuendesha shughuli za kiongozi kwa maslahi yao binafsi, huku wakiacha nguzo muhimu za uongozi ambazo zingesaidia kuinua maisha ya wananchi...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa katiba ya chama hicho uchaguzi kila baada ya miaka mitano ndio ukomo wa madaraka.
Mbowe aliyeiongoza Chadema kwa miaka 20 tangu 2004, ameyasema hayo jana Desemba 3, 2025 katika mahojiano na Crown Media jijini Dar es Salaam.
“Katika...
Mwenyekiti wa Chadema bwana Mbowe amesema chama chao cha chadema hakina ukomo wa madaraka na watu wasiwalazimishe kua kama CCM ana ACT wazalendo wenye ukomo wa Madaraka.
Mbowe anasema ukomo wa madaraka kwenye chama chao ni pale wanapofanya uchaguzi kila baada ya miaka 5 hivyo kama kiongozi...
Mbowe ni mgumu kuelewa, watu kama hawa ni pasua kichwa, ushauri wa kuachia madaraka ulikuwa mzuri ili ufute kashfa ya uroho wa madaraka lakini haelewi
Matokeo yake Wanachama pamoja na Wananchi watapoteza imani
Lakini pia CHADEMA itapuuzwa na CCM pale itakapokuwa ikiwanyooshea kidole kwa madai...
Tuwe wakweli tu kama unamjua yeyote ambaye kabla ya kuwa mbunge, waziri au rais aliwahi kuendesha mradi wowote na ukafanikiwa.
Inawezekana ndio maana Tanzania yetu inaendelea kuwa chini tu badala ya kwenda juu.
Kwa sababu inaendeshwa na watu ambao uwezo wa kuendesha jambo lolote...
Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia.
Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia nchi yake kufika mbali. Kwenye makaratasi wana hotuba tamu kuliko asali. Kwenye utekelezaji ni...
Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi.
CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...