madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    SHULE ZA MSINGI ZAIDI YA 468 ZIMEJENGWA TANGU RAIS SAMIA ALIPOINGIA MADARAKANI

    Tangu kuingia madarakani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan mwaka 2021, shule za msingi mpya zaidi ya 468 zimejengwa huku vyumba vya madarasa zaidi ya 15,000 vipya vya msingi na Sekondari vimejengwa, lakini kama haitoshi kumejengwa shule za awali 1,600 ambazo...
  2. Pre GE2025 Mwenyekiti halmashauri Iringa anasema diwani au mbunge aliyeko madarakani, maamuzi ya CCM, ni jina lazima lirudi kugombea tena

    "Bahati nzuri Kwa Mwaka huu Kwa maamuzi ya Chama, awe mbunge awe Diwani jina lazima lirudi, yaani hapo wametusaidia sana, hapo hamna namna lazima lirudi" - Steven Mhapa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  3. Je DPP wa Tanzania Anawajibika Kwa Watanzania au wachache waliopo Madarakani?

    Ni kitu cha kwaida kuona kuwa mfumo wa kisheria wa nchi yoyote, mchakato wa haki na uwajibikaji ni msingi muhimu wa utawala bora. Hapo ndipo tunapozungumzia, nguvu na mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ambayo ni sehemu ya muhimu katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana bila upendeleo...
  4. Africa Kusini wasipoitoa ANC madarakani mapema itakuwa kama Haiti siku moja

    Majambazi na wezi wanakwida watu, wanawapukutisha hadharani na kufanya mauaji kiholela sana kama vile hakuna kitu kinaitwa police au magereza.
  5. Lissu na Heche achaneni na sherehe za kumtoa Mbowe madarakani. Mjue mpaka leo Soka hajapatikana nyie mnafanya tafrija

    Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani. Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa. Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa...
  6. Pre GE2025 Hiki kizazi ndo kinachoibakiza CCM madarakani. Hukiambii kitu kikakuelewa

    Kataa ukubali Kizazi hiki ndo mtaji mkubwa sana wa Ccm. Ccm kwenye kampeni zao Huwa wanakirinda Kwa wivu mkubwa mno. Kizazi hiki kinakiambia ccm imetulea.Ccm imeleta Amani Nchi hii nk. Kizazi hiki kikiisha wanaobaki ni vijana wachache tu ambao hawajitambui Bado ndo supporters wakubwa wa ccm...
  7. Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  8. S

    Nchi za Ulaya nazo ziungane na Marekani kukata misaada. Ajira zikikosekana, ndio watanzania wataelewa kwanini CCM inafaa kuondolewa madarakani

    Miongoni mwa watu ambao watakuambia mimi sifuatili siasa, ni bsadhi ya hawa wenzetu wanaofanya kazi karika mashirika ya kimataifa na kulipwa hela nyingi kiasi kwamba waona siasa kwao haina maana. Mimi naomba na nchi za Ulaya nazo zisitishe misaada kama Marekani ili wote tuongee lugha moja juu...
  9. Siri ya kudumu kwa CCM madarakani ni nini?

    Kwa kifupi sana, naomba kujuzwa ni namna gani hiki chama kikongwe kabisa cha ukombozi barani Afrika na kama sio duniani, chenye alama ya "Jembe na Nyundo" kimeweza kuendelea kusalia madarakani mpaka leo hii February tano 2025, huku kukiwa hakuna hata chembe au dalili yoyote ya kung'olewa...
  10. S

    CHADEMA muungeni mkono Luhaga Mpina

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA mpya chini ya Mwenyekiti, Tundu Lissu. Nakumbuka makama wake, John Heche, siku Lissu anaingia ofisini kwa mara ya kwanza, aliahid kuwa wataanza kuanika madudu mbalimbali na alitoa mfano wa uagiza wa mabehewa ya treni(kama ni mapya, yamepigwa rangi, n.k)...
  11. Mikakati ya Kuitoa CCM madarakani ; muhimu Tundu Lissu awe Mwenyekiti

    REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda; Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years. Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama. Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
  12. Pre GE2025 Bila kura za Kanda ya Ziwa, CCM inaweza kubaki madarakani?

    Baada ya kifo cha Magufuli na Samia Suluhu Hassan kuanza kuachana na yule aliyemtengeneza, kumekuwa na juhudi za makusudi kwake na chama cha Mapinduzi kushikilia dola. Hata hivyo, wawili hawa wanajua kuwa bila ya kura za Kanda ya Ziwa, hakuna anayeweza kushika madaraka nchini. Tokana na...
  13. Baada ya Syria ya Assad Je, sasa ni zamu ya Egypt ya Sisi ? Movement ya kumtoa madarakani yahofiwa kuanza

    Baada ya utawala wa Assad kuangushwa Syria, yahofiwa movement inayofuata ni ya kuondosha utawala wa Misri wa Sisi. Movement hiyo ni January 25 Revolutionaries Movement. Je, hawa wapiganaji watafanikiwa ? https://x.com/BroderickM_/status/1878204005450690640?t=mV3t7TJCfbPpIy2Ta18SXw&s=19...
  14. HOJA NGUMU: Kutetea FAM kuendelea kusalia madarakani ni sawa na kukiri CHADEMA ni chama kilichosheheni vilaza

    Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia hakiwezi kuwa na mwenyekiti mmoja kwa miaka zaidi ya 20 Kwa sisi watu wenye akili kidogo tafsiri ya hili...
  15. Swali fikirishi, ni kwanini Mbowe anatumia nguvu kubwa kubaki madarakani?

    Wasalaam Inashangaza sana kuona mtu mzima bwana Mbowe anatumia nguvu kubwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ili hali wanaCHADEMA wamemkataa na wanataka mabadiliko ndani ya chama na nchi kwa ujumla. Iko wazi kabisa Mbowe anashirikiana na maCCM kuhakikisha anaendelea kuwa madarakani na kuendelea...
  16. G

    Jeshi la Korea Kusini limewazuia polisi 3000 kumkamata Rais aliyeondolewa madarakani na bunge

    Jaribio la kumkamata Yoon Suk Yeol, Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani na bunge, limegonga mwamba baada ya polisi na wachunguzi wa rushwa takribani 3,000 kuzuiwa na Jeshi la Korea Kusini Wanasheria wa Yoon wamesema polisi na wachunguzi wanaojaribu kumkamata Yoon wamevunja sheria...
  17. M

    Dunia inautulivu fulani kabla mfalme wake mpya kuingia madarakani mnamo Januari 20, 2025

    Binadamu ni kiumbe anaeishi Kwa Sheria na moja wapo ya Sheria zake ni pamoja na kuwa na kiongozi, popote penye mkuasnyiko wa binadamu lazima wapate kiongozi wao Hata kusanyiko dogo zaidi la watu wawili lazima mmoja awe anamwongoza au kumzidi angalau kidogo mwenzie hapo ndo kusanyiko litadumu...
  18. Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

    Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani. CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania. Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele. CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
  19. CCM wanataka Mbowe aendelee kukaa madarakani kwa sababu hizi hapa

    Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya ndugu wanaJF. Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Baada ya CCM kumpigia Mbowe kelele kwa muda mrefu kwa sababu za kuchakachua katiba ya CHADEMA ili akae madarakani milele, ghafla wamebadilisha gea angani na kuanza kumuunga mkono...
  20. MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…