Kila nikimsikia mwana CHADEMA simsikii akinipa mikakati yenu ya kuitoa (kuing'oa) CCM madarakani bali nasikia tu wakijisifia kujaza watu (nyomi) katika mikutano yao huko mkoani/mikoani.
Nilishawahi kuwashaurini huko nyuma kuwa jiimarisheni sana katika kujijenga ngazi za chini ila nasikitika...
Tusidanyane!
Vijana wote ambao hamko kwenye cheni ya ulaji na kupeana nafasi kwa Juana ndani ya ccm, bila kuiondoa ccm na kuikataa, wote mtakufa masikini na hamtafikia ndoto zenu abadani
Hata hapa CCM inalindwa na wanaokula kupitia mfumo mbovu iliojitengenezea na wengine kulipwa kwa kazi ya...
Ni Ujinga, Utindiga, Ututusa na Ubwege kumuogopa Rais kwa miaka 7 mkiwa mmeufyata halafu leo amekufa ndio mnatumia Mikutano ya hadhara kumsimanga, kumkejeli na kumtukana
Popote duniani silaha kuu ya Chama cha Siasa ni Ujasiri siyo Uoga, Umbuni na Unguchiro
Mnasema ilikuwa miaka 7 ya Giza ninyi...
Kwa kuwa jirani na Kenya na kushuhudia yanayotokea itakuwa ni vigumu sana porojo za katiba mpya kueleweka, kukubalika, na kushabikiwa na wananchi wenye akili timamu.
=====
Chief Justice Martha Koome led six other judges of the Supreme Court in declaring that the President enjoys immunity...
Taarifa huwa haziozi.
Hoja hiyo kwenye mada; Iliibuliwa na siye Mwingine bali Nguli wa Siasa wa CHADEMA.
Unaweza pitia hapa kwa Taarifa
Bila ya Kuharibu shehena.
Hatahivyo nitamnukuu kiunagaubaga.....
Has Chadema Reformed?
Imetoka Maktaba.
Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa.
Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo.
Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda wingi wa utawala wake.
Hii ndio Africa ambayo Trump aliwahi kutuambia tunahitaji kutawaliwa miaka...
Hivi ccm inaweza kutoka madarakani? na kama ikitoka ni lini? Nakili kusema ccm kuitoa kupitia Sanduku la maoni tusahau na tusifikiri hata kidogo yaani sio leo wala kesho kwa ccm hii kutoka madarakani.
Kwanza itatokaje? Na kivipi yaani? Kama Rais pia ni mwenekiti wa Chama hapo kuna kutoka...
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu...
Tuvute kumbu kumbu:
Hawa ndugu na wadhamini wao wangalipo madarakani na kazi inaendelea. Maajabu ya Mussa!
Ama kweli kama nchi tuna matatizo!
Tunaridhiana nao nini hawa?
Chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Nyasa kimefanya kongamano la kisiasa lenye lengo la kutoa elimu kwa wanachi juu ya haki zao.
Mhe. Mchg. Peter Msigwa, mbunge Mstaafu wa Iringa Mjini, Joseph Mbilinyi, Mbunge Mstaafu wa Mbeya Mjini na Mbunge Mstaafu wa Tarime Mhe. Heche ni...
Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo
Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga...
Kufupisha Uzi nitatoa mfano!
Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea!
Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
Kuna mwamba mwingine huyu hapa
Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday.
“We are capable of destroying a mighty enemy or...
"Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe.
Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe.
Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi.
Kwa mateso haya Kuna watu...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika mazoezi kijijini kwake Msoga jana wakati akiwa ametimiza miaka 72.
Hapo pembeni akiwa na Shaffih Dauda waliobaki ni wana usalama.
Imekuwaje miaka 7 baada ya kustaafu kwake, bado ulinzi wake ni mkubwa. Hakika JK ni hazina ya nchi hii.
Taarifa imethibitishwa na viongozi wa dini waliofanya mazungumzo ya amani na Ibrahim Traore kiongozi aliyempindua Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba.
Damiba aliyechukua mamlaka Januari, 2022 ameenda uhamishoni nchini Togo baada ya kuhakishiwa mambo mawili, Usalama wake na kurejeshwa...
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema ni ajbu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20 na zaidi kwani ni kuwanyima Vijana fursa za Uongozi
Mbatia aliwafukuza mzee Mrema na David Kafulila sasa iweje nongwa yeye kuondolewa? Ameuliza Selasini wakati akiongea na...
Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe waliopitisha sheria hizo.
Wakati upingaji huu unatokoea na kuendelea, wanaopinga wanakubali tozo toka...
Rais Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa miaka 43, amethibitisha kuwa atagombea tena katika uchaguzi wa Novemba.
Makamu wa Rais, Teodoro Nguema Obiang Mangue ambaye ni mtoto wa Rais huyo, alitoa tangazo hilo kupitia Twitter siku ya Ijumaa akisema ni "Kwa sababu ya...