Dar es Salaam, Septemba 10, 2024
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata kilogramu 1,815 za dawa za kulevya aina ya skanka katika operesheni iliyofanyika tarehe 28 Agosti, 2024 hadi tarehe 02 Septemba, 2024 katika maeneo ya Luguruni Mbezi na Magomeni jijini Dar es...
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla.
Nawaza kuja kufanya project Kama hii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali
Kuna wazazi wanaumia
Kuna ndugu wanaumia
I hope one day...
Miaka takribani kumi iliyopita nilipoteza ndugu ambaye alikuwa ni mhanga wa madawa ya kulevya na kilichotokea ni kuwa aliugua ghafla na alipofika hospitali walimpatia matibabu bila kujua kuwa alikuwa ametoka kutumia madawa ya kulevya Jambo lililopelekea kifo chake. Kama familiya tuliumia mno, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.