madawa

Hum Sitaray is a Pakistani entertainment channel launched by Hum Network Limited on 14 December 2013. It is a major entertainment channel in Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  2. G

    Unaposikia mtu kafa kwa over dose ya madawa ya kulevya ni kwamba raha ilizidi mpaka akili ikasahau kupumua ili mwili upate starehe

    Madawa ya kulevya ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokumba jamii nyingi duniani. Mara nyingi, tunaposikia mtu amefariki kutokana na overdose, hatufahamu kabisa kinachotokea ndani ya mwili hadi kufikia hatua hiyo ya hatari. Overdose ya madawa ya kulevya mara nyingi inahusiana na hali ya...
  3. G

    Kwanini wakulima wa Bangi hawalimi Cocaine au madawa mengine yenye faida kubwa zaidi wakati vifungo vya kulima dawa za kulevya vinafanana?

    Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya. Kilimo cha madawa ya kulevya ni haramu kwa sheria za Tanzania, ukilima bangi kuna mvua ya miaka 20+, ukilima cocaine...
  4. Wale ambao ndugu zenu wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Bangi, Madawa n.k, naomba tuwasiliane kwa ajili ya matibabu

    Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu. Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo: 1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa 2. Huduma za kisaikolojia...
  5. R

    Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!! Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje? Yaani, familia...
  6. L

    Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
  7. Unpopular Opinion: Mhusika Alex Mahone alitumika ku-glorify matumizi ya madawa ya kulevya

    Hivi sasa ni saa 1 na dakika 38, nawasalimu wanajukwaa. Huku niliko hali ya hewa ni ya kiubaridi kidogo, anga limetandwa na kiza na nyota kadhaa zimeanza kuonekana. Narejea kwenye mada, kwa wale ambao hawamfahamu mhusika wa kubuni anayefahamika kwa jina la Alex Mahone naanza nao hivi; Alex...
  8. Wenye Nyumba kaeni kitaalamu: Kama mpangaji wako atakutwa na dawa za kulevya nyumba yako itataifishwa!

    Wakuu, Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA. Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao. Alieleza kuwa baadhi ya...
  9. Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  10. Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  11. Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  12. Kuna mtu katania eti kampuni ya madawa ya Azuma wametokea kupapenda Bongo. Biashara imekuwa nzuri

    Apart from utani wanangu kuweni makini, vaeni mipira.
  13. Matumizi yaliyozidi ya Antibiotics, husababisha kansa!

    Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari. Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na kusababisha Fangasi sehemu za Mwili, kama Ulimi, Koo, utumbo, Ini, lakini pia Huchosha Ini na kuweza...
  14. Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena. Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
  15. Kuvuta n'ge ili kufikia ulevi ni tatizo linalokua kwa kasi Asia

    Kuvuta n'ge ili kufikia ulevi au to get high ni tatizo linalo kua kwa kasi katika ukanda wa kusini mwa Asia. Mojawapo ya nchi iliyo na matumizi makubwa ya ulevi huu ni Pakistan. Ulevi au high hiyo inasemekana huwa maradufu zaidi kushinda heroine au cocaine, hudumu mwilini kwa zaidi ya masaa 10...
  16. Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  17. H

    Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
  18. H

    Madawa ya kilimo na madawa wanyama Kuna shida mahali

    Hivi naomba kujua na kufahamu madawa ya kwenye mazao na kilimo na mifugo huwa majaribio yake wanayafanyiaga wapi? Kuna maduka mengi yanauza madawa ya mifugo pamoja na madawa ila haya madawa mengi yamekuwa hayana matokeo Bora Kwa wakulima na wafugaji. Nikiwa kama mkulima n mfugaji na nikiwa n...
  19. B

    Tamko la Idara, baada ya vigogo wa madawa ya kulevya duniani kutiwa nguvuni

    25 July 2024 Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Bw. Merrick B. Garland Atoa Taarifa kuhusu Kukamatwa kwa Viongozi Wanaodaiwa wa Kundi la Sinaloa Bw. Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Bw. Joaquin Guzman Lopez viongozi wa genge la Sinaloa Cartel, Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Joaquin...
  20. A

    Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…