Habari za muda huu wadau,
Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi.
Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake,
Katika kushare experience hizo...