Imagine mtu anatembea bara barani sehemu finyu then akuoneshi motion ya kupishana kama vile wewe unavyomuonesha, anatembea towards you kama vile presence yako haipo hio yote ili wewe umpishe kwa kujibana bana coz yeye ndio pisi kali matawi ya juu mwenye wiggle wiggle.
Sasa wakikutana na no...
Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu muliwapataje muliwa aprochi kijeiefu jeiefu au ilikuwaje hadi mukawapata?
Mwisho kabisa kama kuna demu munajuwa yuko singo humu...
Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu.
Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana
Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae alimpenda sana,sasa mie ndiye nilikuwa natumwa kila kitu na kaka kwa huyo demu,na pesa nilikuwa...
Utakapo sifiwa kung'oa mademu kwa wingi, Siku ukiyavagaa Huwa hawatoi sifa tena ni utani mbaya na unafki wa "Pole sana Mwanetu"
Kataa uzinzi mwanangu, Usije Ukasifiwa kwa Kumaliza Kikombe Kimoja cha Uji.
Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu.
Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa.
Na mwanamke priority yake ni kupenda...
Kweli mambo yanaenda kasi sana wanabodi.
Sijui Manyangema hapo kale ya 2000s walikuwa wanakwama wapi, kwani nimekuja kugundua walikuwa hawatongozi kabisa, wao ndio walikuwa wanapigwa mistari sana na manzi wa enzi hizo.
Hawa Wanawake wanaotongozaa sijui wameishia wapi, yaan tokea nitongozwe...
Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu.
Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu.
Tumedharililishwa kisa wake za watu.
Tumefirisika kisa makahaba
Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza
Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates
Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko
Tumechelewa...
Japo kila mtu ana mapendeleo yake ila jamani mapaja manene manene nayapenda yananichanganya.wengine wanapenda wembamba eti kwa sabab wanachangamka kwenye game na rahisi kuwakunja..nyie acheni utani hata wanaume 5 wakikaa sehemu akapita demu mwenye mzigo halafu ana sura mbaya na akapita demu...
Nikiwa town kwenye mishe zangu,Kuna mahali mchana huwa napenda kwenda kula,wakati natoka Kuna mahali nilipita kwenda kuchukua mkoba wangu
Eeeeh sinikasikia naitwa,kugeuka namuona mbaba mtu mzima ila vaa yake kama wale dereva tours,nyieeeee 😹
Kuna watu wanajua kutongoza,yaani nimejiuliza...
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.
Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.
Ameyazungumza...
Kocha Yanga SC Miguel Gamondi amejibu maswali wanaohoji wachezaji wa Yanga Stephane Aziz ki na Khalid Aucho kuwa na kiwango cha chini kwenye mchezo dhidi ya KMC Azam Complex.
Chanzo Taarifa: manaratv
Yaani Mademu wa Kibongo hasa wa Tabata na Sinza wakujue ni Star halafu una Hela wakuache...
Huyu manzi alishaolewa but bado ananichek na kunikumbuka jinsi nilivyokuwa namkunja ipasavyo! sasa huko alipoolewa kakuta hakuna kitu dah hizi ndoa hizi 😁😁
Wanangu wa kataa ndoa back up yenu muhimu waliooa wakianza kunishambulia 😁😁
Mwenzenu nimejifunza sasa na nimekoma kwa yaliyonitokea, nimekuwa na mahusiano
na wadada tofauti katka nyakati tofauti, lakini kitu kimoja tu kinafanana katika hao wote
ninao kuwa nao nacho ni kuwa mara tu napokuwa nao basi hilo kosa lazima ataenda
kunitengeneza ili nimpende zaidi na technic...
Mi naish huku,aisee...na nazunguka sana Schengen,,aisee hawa wenzetu na ubaguz wao ila wana watoto wakal jaman...yaan wana watoto wakal..nikisema mademu wakal hiv mnaelewa..na hiz nywele zao bazo dada zetu wanazipenda had wanazinunua kwa bei mbaya aisee..,
Sasa naambiwa eastern europe huko ndo...
Eeh watu wanahela hapa mjini,
Mabinti wazuri ni wengi hapa mjini.
Majivuno yangu yote yaliishia kwenye parking.
Sema wenye hela wengi ni sura ngumu, sasa nataka nipambane af niwe kijana handsome, wenye hela halafu physically fits.
Hii bar nitarudi tena kivingine.
Kuna Clip moja inasambaa Diamond Platinumz ( Nasib Abdul ) anasema kuwa hata Yeye pamoja na kuwa na Hela na kuwapa kila Kitu Mademu zake lakini bado kuna Masela ( akimaanisha Sisi akina GENTAMYCINE ) huwa Wanamchapia / Wanambandulia Mademu zake na kwamba akigundua hilo basi nae kwa Hasira huwa...
DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na mashambuIizi yanayofanywa na kundi Ia kigaidi Ia Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ).
Chanzo...
Shalom,
Huu sijui niite ni dharau, maringo, ubaharia au ujinga wa kitoto.
Ubaharia wa kidwanzi ndio huu kuna siku nikichukua namba ya demu mmoja hapa jijini Dodoma, nikambeep Fair kabisa.
Kesho yake nikampigia daah aliwasha sana moto akaniumbua sana wewe nani acha kushoboka hovyo na maneno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.