Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire ameeleza hali ya madeni na kukiri kuwa bado kuna madeni yaliyofikia takribani bilioni 40. Madeni hayo yamegawanyika katika maeneo matatu:
Taasisi mbalimbali: Deni lipo Takribani bilioni 22.
Wateja walioondolewa huduma: Madeni haya ni...