madeni ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kingphisher

    Uhalisia wa madeni ya taifa letu na urejeshwaji wake kupita wananchi maskini kwa kukandamizwa na kodi za ajabu, rushwa na unyonyaji

    wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
  2. CM 1774858

    IMF yatoa taarifa ya nchi 10 zinazoongoza kwa Madeni makubwa barani Africa Kenya yashika nafasi ya pili Tanzania ya Samia haipo kwenye orodha

    Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in Q4 of 2024 Rank Country Total IMF Credit Outstanding as of 09/27/2024 1. Egypt 9,450,430,014 2. Kenya 3,022,009,900 3. Angola 2,989,900,003 4. Ghana 2,245,321,000 5. Cote d'Ivoire 2,192,118,672 6. Democratic Republic of...
  3. Pascal Mayalla

    Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

    Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu kitu very serious kuhusu mustakabali wa taifa letu na vipaumbele vyetu ambapo CAG Prof. Mussa Asad amekisema!. Kama hii ni kweli, then, this is not right at all, hivyo kama mambo yenyewe ni haya, hala hala huko mbele tusije tukashikana mashati, swali linabaki...
Back
Top Bottom