Kwangu binafsi naona ni mwendelezo wa unafiki wa Polisi Tanzania. Umesikia hata siku moja pale inapotokea ajali ya gari za serikali, hasa hizi Landcruiser ST.. wakisema ajali imesababishwa na uzembe wa dereva? Na kila mtu anajua madereva wa hizi ST.. wanaendesha gari kwa fujo bila kufuata sheria...
Hatimae tumefikiwa.
J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.
Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa taasisi wahakikishe kuwa madereva wao wanapatiwa stahiki zao ikiwemo posho za safari, sare za kazi na mafunzo wawapo kazini.
"Wakuu wa taasisi hakikisheni madereva wanapata stahiki zao kikamilifu kwa kuzingatia sheria. Ni muhimu posho ya kujikimu...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshtushwa na madai ya madereva wa Serikali kulogana ili wapate magari ya kufanyia kazi.
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Juma Mtanda kwenye kongamano la tatu la madereva wa Serikali la mwaka 2024 linaloendelea jijini Arusha kwa siku nne mfululizo...
Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania kimeandaa kongamano la Madereva wa Serikali litakalofanyika ukumbe wa AICC kuanzia Agosti 19-23, 2024 ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atahuduria kama mgeni rasmi pamoja na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa.
Dereva wa Serikali unaweza kujisajili...
Salaam WanaJf,
Hivi Hawa madereva wa serikali na mashirika ya umma hizi sheria za barabarani haziwahusu? Au ni kwa sababu leseni zao hazupigwi faini! Hii ni shida kubwa mno kama Kuna watu tu eti kwa sababu ni waajiriwa was serikali Basi wapo above the law.
Haya magari mawili pichani yamesimama...
Hawa watu wanakabidhiwa LC 300 gari ya gharama kubwa na kuwabeba viongozi wetu, hili jambo litazamwe upya
ili uwe dereva unahitaji kufanya mafunzo ya mchongo na pengine yenye usimamizi hafifu na kuachiwa uingie barabarani ukalete madahara kwa watu wengine
Darasa la saba B atapewaje gari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.