Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu, wengine kwenye magari ya kifari.
Kule pesa yako nyingi iendako, ndiko kwenye madhabahu yako.
Madhabahu ilikuwa ni mahali pa kutolea sada za damu katika agano la kale. Siku hizi wahubiri wakristo wakianzisha kanisa wanaita madhabahu eti watu walete pesa hapo. Huu ni wizi na watu wengi wajinga wasioijua hata hiyo biblia ndio wamejazana huko. Utapeli mtupu.
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa na mpendwa wako
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama motisha wa kufanya vizuri zaidi
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama ishara njema kwa jambo zuri ulilofanya
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kwa nia ya...
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Pauline Gekul amefanya ibada ya kutoa shukrani kwa Mungu kwa changamoto mbalimbali alizopitia mwaka huu 2024 ikiwemo sakata la kutuhumiwa kumuingizia chupa sehemu ya haja kubwa kijana aliyefahamika kwa jina la Hashimu jambo ambalo amesema hakulifanya kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.