madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Metronidazole 400mg

    Hivi Kuna madhara ya kuweka pombe Kali kwenye fridge na baadae kuinywa??

    Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua hili......tchao!!!
  2. Metronidazole 400mg

    Utumiaji wa Microwave una madhara kwa afya??

    Wakuu, Kuna madhara yoyote ya kiafya mtu anaweza kupata anapotumia hii Microwave ya kupashia chakula na Mambo mengine, naomba kujuzwa hili. Natanguliza shukrani🙏
  3. Dr isaya febu

    Madhara Ya Bawasiri Kwa Mwanamke

    Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri hujulikana kwa kitaalamu kama Hemorrhoids. Bawasiri inaweza kutokea ndani ya rektamu (bawasiri ya ndani)...
  4. Martine18012002

    Madhara ya kukosa Ute wa Ovulation

    📌 Kukosa Ute Katika Kizazi cha Mwanamke Kukosa ute wa kutosha kwenye kizazi kunaweza kuathiri afya ya uzazi na maisha ya ndoa. Hii inaweza kuwa ishara ya mabadiliko ya homoni au matatizo ya kiafya. 🔴 Dalili za Kukosa Ute Katika Kizazi: 1️⃣ Ukavu ukeni, hasa wakati wa tendo la ndoa 2️⃣ Maumivu...
  5. Martine18012002

    Madhara ya PID

    📌 P.I.D: Ugonjwa wa Maambukizi ya Via vya Uzazi kwa Wanawake ⚠️ Je, unajua kuwa PID inaweza kuathiri afya ya uzazi ikiwa haitatibiwa mapema? 🔴 Dalili za PID: 1️⃣ Maumivu makali chini ya tumbo 2️⃣ Uchungu wakati wa tendo la ndoa 3️⃣ Homa na uchovu 4️⃣ Kutokwa na uchafu usio wa kawaida ukeni 5️⃣...
  6. LIKUD

    Video: Madhara ya kutembea na mke wa mtu vijijini

    Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
  7. Setfree

    Madhara ya Kuwadharau Watumishi wa Mungu

    Kuwadharau Watumishi wa Mungu ni kosa linaloweza kuleta madhara makubwa kwa mtu binafsi na jamii. Biblia inatufundisha kwamba Watumishi wa Mungu wameteuliwa kutangaza Habari Njema na kuwaongoza watu katika njia ya haki. Kuwadharau ni sawa na kupinga kazi ya Mungu, jambo linaloweza kuleta laana...
  8. Mshana Jr

    Madhara ya uchawa

    Side effects of uchawa. Ni sawa na ziara ya her Excellence Tanga last week kuliandaliwa msosi kwa nishati ya kuni wakati promotion ni nishati safi 🥺🤔🙇🏿‍♂😭
  9. Damaso

    Mvua ya Jumapili huko Durban Afrika Kusini yaleta madhara kwenye makaburi

    Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini. Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara...
  10. Chizi Maarifa

    Hii haina madhara kwenye sehemu za huyu Dada? Nimeshangaa sana

    Hakuna haja ya salamu. Jana nlienda beach flani ya kishua huko pembezoni ya beach. Nikawa nime cool tu napata moja baridi,moja baridi. Sikujua kama Tanzania kuna joto hivi. Nimeingia Ijumaa alfajiri. Baadaye nikaona nikapoze mwili. Likaja lishangazi limefunga kitambaa laini kiunoni. Lina mipaja...
  11. N

    Kuna madhara yoyote kukaa single muda mrefu?

    Heri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani, Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi kukua kwangu kote huwa nadumu sana kwenye mahusiano ila nikiachana na mtu napata moya gurudumu...
  12. Dr isaya febu

    Madhara Ya Fangasi Kwenye Korodani

    Fangasi kwenye korodani (scrotal fungal infection) ni maambukizi yanayosababishwa na vimelea vya fangasi, hasa kundi la dermatophytes au candida. Maambukizi haya mara nyingi hujitokeza kwenye ngozi ya korodani na maeneo ya karibu kama mapaja na sehemu za siri Yafuatayo ni madhara ya fangasi...
  13. G

    Madhara ya amani ktk taifa. "Natural Selection" haifanyiki hivyo hata watu dhaifu huishi na kupata madaraka.

    Israel ni taifa linalosifika ktk kila nyanja ktk uso wa dunia ni kwasabb imepitia misukosuko ya kivita kwa muda mrefu sana. Hii imepekea waisrael dhaifu kufariki na kubakia wale wenye nguvu ama uwezo wa aina fulani "survival of the fittest". Kwenye nchi zenye utulivu na amani ya muda mrefu...
  14. Jack Daniel

    Punyeto au kujichua na madhara kiroho

    Hello jamiiforum. Hope mko salama Happy birthday to me , Nimezaliwa tarehe 2 Mwezi wa pili Miaka mingi iliyopita. Hivyo ni kumbukizi nzuri kwangu Leo tuone madhara ya punyeto kiroho si kimwili, ipo hivi punyeto au kujichua ni hali ya kujisisimua kwa kuvuta picha ya mtu fulani anatevutia...
  15. Pulchra Animo

    Machawa; Kwanini Wapo; Kila Mkubwa na Machawa Wake; Madhara ya Machawa; na Njia za Jamii Kuyashinda Madhara ya Machawa

    Machawa ni watu wanaojipendekeza kwa wenye mamlaka kwa lengo la kupata manufaa binafsi kwa kuwapongeza na kuwafurahisha kupita kiasi, mara nyingi kwa gharama ya ukweli na uadilifu. Wanaishi kwa kuwa mamlaka huvutia wale wanaotafuta usalama, ushawishi, au faida binafsi. Mkakati wao wa kuendelea...
  16. milele amina

    Madhara ya kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala

    Kuchaguliwa kwa mtu mwenye miaka 80 kuwa makamu mwenyekiti wa chama tawala kuna madhara na faida nyingi. Kisiasa, umri mkubwa unaweza kuleta uzoefu wa thamani, lakini pia kuna changamoto zinazohusiana na uwezo wa utendaji wa mtu huyu katika nafasi hiyo. Madhara Mtu mwenye umri wa miaka 80...
  17. Manyanza

    Madhara ya kuheshimu watu wengine kupitiliza

    Ubora wa kitu chochote huwa ni kati kwa kati.Ukionyesha heshima kupitiliza kwa mtu yeyote unaweza kugeuzwa mtumwa kwa kulazimishwa kuhatarisha maisha yako kwa lengo la kumfurahisha mtu ambaye unamuheshimu kupitiliza. Vilevile kama hauna heshima kabisa kwa Watu wengine utaonekana upo na kiburi...
  18. Nomadix

    Kwanini Addiction ni ngumu kuacha hata kama unajua madhara yake

    Habari zenu wakuu Mwaka unaenda kasi sana njaanuary hioo inaishia ... Kuna mambo mengi ambayo unakuta mtu anajua kabisa madhara yake au kama hajui hata akishaambiwa madhara yake bado haachi, mfano mambo kama: -Kujichua, wapo wanaodai inafaida ili wajifariji lakini ukweli unajulikana ina madhara...
  19. GRACE PRODUCTS

    Usafi wa Choo: Umuhimu wa Kutumia Disinfectant kwa usafi wa choo chako na Madhara ya Kutoitumia

    Choo ni moja ya sehemu muhimu zaidi katika nyumba inayohitaji kusafishwa mara kwa mara. Usafi wa choo unahusisha kuondoa uchafu na vijidudu vinavyoweza kusababisha magonjwa. Kwa kufanya hivyo, tunaweza kudumisha afya njema na mazingira ya kupendeza nyumbani. Umuhimu wa Kutumia Disinfectant...
  20. Trainee

    Iangaliwe namna bora ya kuwanusuru watoto na madhara ya kitabia migodini

    Hivi mbona swali hili sijawahi kupata majibu yaliyonyooka? Ni kwa nini watu hawa wanatukana sana katika baadhi ya mazingira yao ya kazi? TANESCO (WAKIWA SITE) WANAJESHI (KWENYE OPERATION NA MAZOEZINI) WATU WA MADINI (MACHIMBONI) WAJENZI (WANAPOKUWA SITE) Na kadhalika na kadhalika, kiufupi kazi...
Back
Top Bottom