JamiiForums iliwasiliana na Dkt. Hellen Makwani, Daktari Bingwa wa Saratani na Tiba Shufaa, ili kufafanua kwa undani madhara yanayoweza kusababishwa na CT scan, baada ya mtumiaji wa jukwaa kuuliza kuhusu athari za CT scan ya Figo - CT scan ya Figo ina madhara?
Mtaalamu wetu alijikita katika...