Kama kawaida yetu sisi wa Tanzania tunapendana na Kujaliana hivyo mtu anapoazima kitu tunampatia anatumia na kisha anarudisha na wewe unaendelea kutumia.
Wengi huazimana Earphone kazini, kwenye michezo na sehemu nyingine kama hizo.
Wengine huazimana Nguo, Viatu, hereni, Na kadhalika...