Machawa ni watu wanaojipendekeza kwa wenye mamlaka kwa lengo la kupata manufaa binafsi kwa kuwapongeza na kuwafurahisha kupita kiasi, mara nyingi kwa gharama ya ukweli na uadilifu.
Wanaishi kwa kuwa mamlaka huvutia wale wanaotafuta usalama, ushawishi, au faida binafsi. Mkakati wao wa kuendelea...
Tatizo la nchi yetu lipo kwenye vyombo vya habari na mahakama.
Mahakama ikikutana na CCM inakuwa mbendembende. Vyombo vya habari vikiiona CCM vinapatwa na mchecheto..
Matokeo yake nchi sasa washauri wakuu wa viongozi wetu ni watu wa hovyo hovyo wanaoitwa "chawa"
Na bahati mbaya sana hao chawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.