Presha ni ugonjwa unaosababisha vifo na ulemavu wa kudumu. Unaweza kudhibiti presha na kuepuka madhara yake kama utachukua hatua stahiki mapema. Ila....
Ubaya wa ugonjwa huu ni kwamba presha inaweza kuwa juu kiwango cha kupasua mishipa ya damu kwenye ubongo na kusababisha kiharusi au magonjwa...