Heri ya mwaka mpya wana JF, nmewamiss maana kitambo sana sijaja jukwaani,
Nashukuru Mungu Mambo yanaenda vizuri mwaka mpya mambo mapya Alhamdullilah, ila upya huu umekuja na usingle. sasa basi kukua kwangu kote huwa nadumu sana kwenye mahusiano ila nikiachana na mtu napata moya gurudumu...