Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo.
Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo.
Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana...