Wakuu kwema,
Kuna vitu mbalimbali ambavyo vinatambulisha maeneo fulani bila hata ya kuangalia location ya mahali ulipo. Tuvitu vitu ambavyo ni spesho kwa kwenye mji huo.
Ntaanza mimi;
- Vibanda vya chips - Kuna wakati nilitembelea kwa baadhi ya majirani zetu nilishangaa kuona watu hawajui...