Waislamu ninyi hua mnanielewesha vizuri kabisa maswali yangu.
Naomba mnipe tofauti kati ya sunni na sh’ia na mnielezee nini kimesababisha tofauti hizo ziwepo na je hua kuna migongano baina ya hayo makundi mawili?
Tafadhali naomba nielimishwe juu ya hayo masuala adhimu ili nipate kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.