Zile Kauli za kijinga za eti tusitumie Madini Hadi vizazi vingine ndio vije kutumia zitakuja kuwaliza watu sio mda.
Toto Russia avamie Ukraine imepatika fursa ya bei ya Makaa ya Mawe kupanda na ni wakati huu wa mpito ambapo Serikali inatakiwa kuweka pesa Kwa Stamico Ili washirikiane na private...
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo tarehe 13 Oktoba limenyakua Tuzo ya Jumla (Overall Winner) kwa upande wa sekta ya umma kwenye Maonesho ya Madini yanayofikia tamati leo mkoani Geita.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgeni Rasmi kwenye...
Vyama vya Wachimbaji Madini (FEMATA) vitafanya uchaguzi wa viongozi wake lini? Ikiwa kuna mtu mwenye katiba ya FEMATA, tafadhali igawanye ili watu wengine waweze kupata taarifa muhimu kuhusu taratibu na kanuni za uchaguzi.
Ni faida zipi za FEMATA kwa wachimbaji wadogo? Chama hiki kinawasaidiaje...
Ndani ya miezi miwili yakusanya shilingi bilioni196 ikiwa ni zaidi ya kiasi kilichokusanywa katika mwaka wa fedha 2015/2016 cha shilingi bilioni 161
Waziri Mavunde apongeza Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kwa kuibeba Sekta ya Madini kupitia ukusanyaji wa maduhuli.
Ampongeza Rais Samia kwa kuipa...
Kwa mujibu wa economic intelligence Afrika Ina Hifadhi ya asilimia 30% ya Madini mbalimbali Duniani.
Kutokana hivyo ikabainisha Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo ya Madini mbalimbali kuanzia Mafuta,Dhahabu Hadi chumvi Kwa Wingi zaidi.
Hata kwenye Dhahabu ambako tuandhani tuna utajiri ,hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.