Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo tarehe 13 Oktoba limenyakua Tuzo ya Jumla (Overall Winner) kwa upande wa sekta ya umma kwenye Maonesho ya Madini yanayofikia tamati leo mkoani Geita.
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgeni Rasmi kwenye...