madini mkakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania na Korea Zajadiliana Njia Bora ya Kuendeleza Madini Mkakati

    TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI ▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink ▪️Korea yaonesha utayari kuwekeza nchini katika uendelezaji wa madini mkakati ▪️Serikali ya Tanzania kuandaa mkakati maalum ya...
  2. Tanzania na Uingereza Kushirikiana Katika Kuendeleza Madini Mkakati

    ▪️Waziri Mavunde ainisha Mkakati wa uongezaji thamani Madini ▪️Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana ▪️Watanzania kujengewa uwezo kukuza ujuzi 📍Dar es Salaam Serikali ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta...
  3. Usimamizi Thabiti wa Madini Mkakati Utakuza Uchumi wa Afrika - Waziri Mavunde

    - Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania 📍Kampala, Uganda Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
  4. Marekani yaimulika Tanzania katika mbio za kushindana na China kumiliki Madini Mkakati

    Beberu USA amekusudia kupambana na China katika umiliki wa Madini mkakati yaani critical minerals Kwa kuunganisha Bandari za Dar na Lobito Kupitia kuunganisha reli za Tazara na Benguela. Huku Marekani ikiimarisha uhusiano na Tanzania, mipango ya kujenga miundombinu kando ya ukanda wa reli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…