madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. DOKEZO Waziri wa Madini, Tume ya madini Wilaya ya Songwe na Chunya wanafanya overlapping (kwenye mfumo) maombi ya leseni za wachimbaji wadogo

    Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya. Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
  2. Biashara ya uuzaji na ununuzi wa madini kwa mfanyabiashara mdogo

    Habari wana JF, Naitwa Mayombo nimekuja kwenu kuomba ufafanuzi kwa yeyote mwenye experience na biashara hii ya uuzaji na ununuzi wa madini hapa nchini 1. Hatua gani za kufuata kisheria? 2. Inahitaji pesa kiasi gani kama mtaji? 3. Changamoto zikoje na faida? Tafadhari naomba msaada ili...
  3. Bunda: Lissu atangaza kubadili Sheria ya madini, kwamba atajayeyagundua kwenye ardhi yake yatakuwa yake

    Nchini Tanzania kwa sheria za sasa , shambani kwako kukikutwa madini , basi haraka sana madini hayo na shamba lako hilo vinageuzwa kuwa mali ya serikali , na baada ya muda mfupi wataletwa wawekezaji wa kiarabu au wa kizungu kuchimba madini hayo , huku wewe ukitimuliwa kwa mijeledi au hata...
  4. Msaada kuhusu karasha na faida zake kwenye machimbo

    Habari vp wanajukwaa. Mm ni kijana naomba msaada wa ushauri kuhusu karasha la kusaga mawe na kuwa unga. Je kuwekeza katika karasha inalipa au vip na kama kwel inalipa ni jinsi gan inavyo leta faida? Mimi mzee wangu ndo amenunua anataka niende nikalisimamie
  5. Tume ya Madini Yatakiwa Kuwasaidia Wajasiriamali Kupata Teknolojia Zenye Gharama Nafuu

    TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi zinazopatikana nchini zikiwemo za kilimo, mifugo, uvuvi na madini katika kujiongezea kipato pamoja na kukuza...
  6. Waziri Mkuu, Majaliwa aagiza wazalishaji wa Madini ya Chumvi, kuzalishwa Chumvi yenye Ubora

    Ahitimisha Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoani Lindi #Aelekeza Halmashauri nchini kuandaa Mpango wa Uchimbaji madini endelevu Ruangwa - Lindi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amewaagiza wazalishaji wa Madini ya Chumvi nchini kuzalisha...
  7. Maonesho ya Madini yafungua Mkoa wa Lindi

    #Mkoa watajwa wa Tatu kwa wingi wa Madini nchini. Ruangwa - Lindi Maonesho ya Kwanza ya Madini na Fursa za Uwekezaji yanayoendelea Mkoani Lindi yametajwa kuufungua mkoa huo kiuchumi na kuongeza fursa mbalimbali za uwekezaji katika Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Madini Dkt...
  8. Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa linamiliki idadi ya Leseni 143

    STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo Dodoma Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
  9. Huduma za TGC kivutio maonesho ya madini na uwekezaji mkoani Lindi

    Ruangwa - Lindi Wadau mbalimbali wanaoshiriki Maonesho ya Madini na Uwekezaji mkoani Lindi wamevutiwa na bidhaa zilizozalishwa na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) katika banda la Wizara ya Madini. Baadhi ya bidhaa zinazotengenezwa na TGC kutokana na madini mbalimbali zilizopo katika...
  10. Dkt. Kiruswa: Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini barani Afrika

    #Dkt. Kiruswa Afungua Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Lindi Ruangwa - Lindi Imeelezwa kuwa, Serikali inaandaa Mkakati wa kuwezesha uongezaji thamani madini kwa lengo la kuzalisha bidhaa mbalimbali zinazotokana na madini utakaopelekea Tanzania kuwa kitovu cha uchakataji madini kwa...
  11. Miradi ya uchimbaji mkubwa wa madini ambayo Serikali ina hisa, imechangia mapato ya Serikali ya jumla ya Shilingi Trilioni 1.53

    MIGODI MIKUBWA YENYE UBIA NA SERIKALI YACHANGIA SHILINGI TRILIONI 1.53 KUFIKIA JUNI, 2023 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Nishati, Madini ataka STAMICO iongezwe nguvu Katibu Mkuu Mahimbali aeleza Mipango Kabambe kuendeleza Sekta ya Madini, aeleza Miradi Mingine Mbioni kupewa Leseni Dodoma...
  12. Dkt. Biteko: Biashara nyingi Sekta ya Madini inafanywa na India

    TANZANIA, INDIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO KIUCHUMI Arusha Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amesema ushirikiano wa kidiplomasia baina ya Serikali ya Tanzania na nchi ya India umeimarika na umeendelea kuzinufaisha nchi hizo kiuchumi. Dkt. Biteko amesema hayo katika sherehe za Maadhimisho ya...
  13. Mchango wa madini kwenye Pato la Taifa wazidi kuongezeka

    Waziri wa Madini Dkt. Dotto Biteko amesema mchango wa sekta ya madini katika Pato la Taifa umeongezeka kutoka asilimia 6.8 hadi kufikia asilimia 9.11 kwa mwaka 2022/23. Pia amewataka wafanyabiashara wa madini kuhakikisha wanarejesha mauzo kwa fedha za kigeni. Dk Biteko alisema hayo Dodoma jana...
  14. Haya ni madini aina gani?

    Mwenye ufahamu na mambo ya Mawe au madini naomba msaada wa Mawe haya ni Aina gani?. Nimeyatoa Mlima Kilimanjaro
  15. Dodoma: Ikulu imejengwa juu ya Madini aina tofauti 28. Je, Tuipige mnada au tumpe Mwekezaji?

    Salaam Wakuu, Imegundulika Ikulu ya Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni iyopo Chamwino Jijini Dodoma, imejegwa Juu ya Madini tofauti 28 ikiwemo dhahabu Sio Ikulu ya Chamwino tu, bali Dodoma yote na Wilaya zake zina Madini tofauti. Huko tuendako, Tujiandae Bunge kuhamishwa na kupewa...
  16. R

    Tanzania imejaliwa Madini ya kila aina lakini..

    Nimejaribu kupitia tovuti hii hapa na kuona Tanzania ina kila aina ya madini. Na yanachibwa kweli kweli lakini bado wananchi tunahangaika . https://www.tanzaniainvest.com/minerals Wajameni hii imekaaje? Kuna mwenye jibu anipatie. Mfano Chuma, sema ndio mchina kesha beba. Tanzania Iron Ore...
  17. Uingereza kuibeba bendera ya Tanzania kutangaza fursa za uwekezaji, biashara zilizopo sekta ya madini

    #Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza #Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
  18. Serikali imefanikiwa kuzuia uamuzi wa kuzilipa kampuni za madini

    Kupitia mtandao wa ICSID kuna taarifa za kutia moyo kuwa Katibu Mkuu wa ICSID amesajili maombi ya kubatilishwa kwa tuzo yaliyowasilishwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa maombi hayo, ICSID imesitisha kwa muda utekelezaji wa tuzo iliyotolewa dhidi ya Tanzania kwenye kesi iliyofunguliwa...
  19. Wizara ya Madini yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na Nchi za Afrika

    #Dkt. Biteko Atangaza Fursa uwekezaji Sekta ya Madini St. Petersburg – Urusi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania katika Mkutano wa Wakuu wa Serikali ya Urusi na nchi za Afrika...
  20. Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…