Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.
Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake...