madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. Wachimbaji wadogo wa Madini (Wanaapolo) watakaotorosha madini ya Tanzanite kufungiwa miaka 10

    CHAMA Cha wachimbaji wa Madini ya Tanzanite Mkoa wa Manyara (MAREMA) kimewatahadhalisha wachimbaji wadogo wa madini hayo(Wanaapolo)wanaojihusisha na utoroshaji wa madini kuacha mara moja kwani kwa kufanya hivyo watakabiliwa na adhabu ya kufungiwa kuingia mgodi wowote wa madini nchini kwa miaka...
  2. E

    Waziri Mkuu ichunguze vizuri Wizara ya Madini, kuna baadhi ya viongozi wa juu wana maslahi katika utendaji wao

    Mh. Waziri mkuu nimekuandikia huu ujumbe nikiamini wewe au watu wako, au watu wakitengo wataisoma hii na kukufikishia. Hivi majuzi kunamgodi nimesikia umeibuka maeneo ya mkoa wa SIMIYU kata ya DUTWA kitongoji cha LUBAGA kilicho mpakani mwa wilaya ya Busega na Bariadi. Baada ya wananchi kuibua...
  3. Waziri wa Madini amvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya kwa utoroshaji madini

    Waziri wa Madini Dotto Biteko, amemvua madaraka Mwenyekiti wa Soko la Madini Chunya, na kuwasimamisha kazi wafanyakazi watatu huku pia akifuta leseni za wachimbaji mbalimbali ambao wamevunja taratibu Sababu imeelezwa kuwa ni utoroshwaji wa madinI uliokuwa ukifanyika
  4. K

    Ni kweli nchi haina wataalam wa madini?

    Baraza la mawaziri la Sasa limepata changamoto na ukosoaji mkubwa kwa mambo makuu matano; 1. Halina Waziri full kutoka Zanzibar 2. Halina uwiano wa jinsia 3. Linatuumiwa kuhusu udini na ukanda 4. Wabunge wakuteuliwa kuingia kwenye baraza huku wakiwemo wabunge zaidi ya 300 wamajimbo ambao...
  5. Prof. Manya aapishwa kuwa Naibu waziri wa Madini. Rais Magufuli ataka wachezaji waliochaguliwa wakachape kazi kwani ana 'Reserve' wengi

    Profesa Shukrani Elisha Manya, ameapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini, baada ya Francis Kumba Ndulane kushindwa kuapa na kuteuliwa mwingine Manya ni mbunge wa kuteuliwa aliyeapishwa masaa machache yaliyopita katika viwanja vya bunge na Spika wa Bunge. Job Ndugai Kassim Majaliwa amuambia rais...
  6. K

    Ndulane alibobea kwenye michezo Mwanyika alibobea kwenye Madini

    CV ya Naibu Waziri wa Madini inakatisha tamaa kuona anapewa sehemu nyeti kiasi hiki. Uwekezaji uliofanyika kwenye Madini unahitaji msimamizi mwenye business mind kama akina Mwanyika ambaye anaelewa michezo na sarakasi za mabeberu na makaburu au Kimei ambaye anaelewa maana ya sekta binafsi...
  7. Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

    Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara. Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
  8. Natafuta ajira, nina shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini (Bsc Mining Engineering) nina uzoefu wa miaka 3

    Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini. Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design...
  9. Ishu ya Naibu Waziri wa madini iangaliwe upya, kuna hii kitu inaitwa Anxiety na Panic Attack

    Wakuu kwenye matatizo ya kisaikolojia kuna ishu inaitwa anxiety na panic attack. Mara nyingi huenda pamoja. Anxiety ni hali ya kuwa na wasiwasi au uwoga uliopitiliza, usioendana na hatari. Sometimes bila sababu yeyote. Hii inaweza kupelekea mtu ukashindwa kufunction. Inaweza kutokea mtu ukiweka...
  10. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  11. Hifadhi ya Selous ina utajiri wa madini unaoweza kuwaondoa Watanzania kwenye ufukara na umaskini

    Habarini wakuu! Leo ngoja niandike kitu ambacho huenda kitaamsha ari ya viongozi wetu. Binafsi mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Ruvuma(Myao) ila nimekulia na kuzaliwa Liwale (Lindi). Ulinzi wa hifadhi ile hasa kipindi cha masika ulikuwa duni. Hii ilisababishwa na poor infrastructure (barabara)...
  12. M

    Msaada wa kutambua aina ya madini haya na thamani yake

    Wana bodi mimi ni mgeni katika sawala madini kuna Mzee wangu ameniomba nimuulizie haya ni madini aina gani na thamani yake kama kuna mjuzi atujuze.
  13. J

    Jifunze kuhusu umuhimu na athari za upungufu wa madini chuma kwa Watoto

    UPUNGUFU WA MADINI YA CHUMA KWA MTOTO Madini ya chuma yaliyopo kwenye maziwa ya Mama hunyonywa vizuri zaidi yale kwenye vyanzo vingine. Vitamin C na kiasi kikubwa cha lactose kwenye maziwa mama husaidia kunyonywa kwa madini ya chuma kwa urahisi sana. Watoto wanaonyonya maziwa ya mama...
  14. Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
  15. Tanzania yakabidhiwa gawio la Tsh. bilioni 100 kutoka Kampuni ya Twiga

    RAIS wa Jamuhuri ya Muunguno wa Tanzania John Magufuli hii leo anatarajiwa kupokea gawio la Sh Bilion 100 kutoka Kampuni ya Madini ya Twiga inayomilikiwa kwa ubia na Kampuni ya Barrick Gold Mine na Serikali ya Tanzania. Tukio linafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere...
  16. M

    Kampuni ya Indiana yafungua kesi ya madai ya takribani Sh. Bilioni 220 dhidi ya Tanzania

    Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini...
  17. Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah! Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea...
  18. Kwanini Msemaji wa Serikali anadanganya Umma juu ya Mikataba ya Madini?

    Na Thabit Jacob Nimeangalia mahojiano kati ya @TZMsemajiMkuu na Salym wa @bbcswahili Jioni hii. Msemaji Amesema serikali ya awamu ya tano imeboresa sana uwazi kwenye sekta ya madini na mikataba. Huu ni upotoshaji na naomba niweke ufafanuzi na ukweli halisi. Thread Kwanza kabisa, wananchi wengi...
  19. Watanzania ilitokeaje mkaishia kubadilishiwa kibao na Barrick kwenye madini, hadi mkaangukia pua?

    Licha ya makelele yote yale na mamia ya nyuzi humu JF na nenda rudi nyingi zile baina ya serikali yenu na Barrick, ilifikaje makubaliano ya 2017 kupinduliwa na kufanywa kinyume chake, niwe mkweli hayo makubaliano ya awali yalinifanya nihisi kwa namna fulani Magufuli ndiye kiboko na starring wa...
  20. Uchaguzi 2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…