madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Uchaguzi 2020 Lissu hana uchungu hata kidogo na rasilimali za taifa hili

    Huyu namfananisha na Rais ambaye ni nazi, kwani nazi ukiiangalia nje inalangi nyeusi ukiipasua ndani ni nyeupe. Rais wetu mtarajiwa ni mweusi kwa nje ila ndani mawazo, fikra, utamaduni na hisia ni kuwa mzungu. Mwanzoni alipatakusikika akimsema vibaya Magufuli kwa kupuuzia mikopo kutoka ulaya na...
  2. Uchaguzi 2020 Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA: Kuweka madini kama dhamana ya mikopo kunaleta ukakasi

    Nikiri wazi sikuwa nimeisoma ilani ya Chadema hasa baada ya kuona mgombea wao hana mwelekeo mnzuri na kuisadia nchi hii. Leo baada ya kumsikia ndugu Polepole nilishtushwa na kipengere kinachohusu madini wakati anafanya mrejeo wa ilani ya Chadema. Baada ya kuitafuta hiyo ilani na kukisoma hicho...
  3. Wauza madini mnamjua dalali wa gems anaitwa Siasa?

    Umuofia kwenu. Wadau wa sekta ya madini hususani mikoa ya pwani Kuna mwamba mmoja muongeaji Sana anaitwa siasa. Ni mtu wa mawe hasa gems nataka kufanya nae biashara Fulani huwa sometimes anakuwa na gems kibao na anatembea nazo Sasa naomba kufahamu uhalali wa hii biznes na usalama wa mtaji...
  4. Tujadili kwa maslai ya nchi: Magufuli anasema makampuni makubwa ya madini yamezalisha dhahabu ya sh. tril. 2.2 na nchi ikaambulia bil. 68

    Naonba niwe muwazi kwa nchi kama wawekezaji wanachimba dhahabu ya shs. tril. 2.2 kwa mwaka huu na nchi kupata bil. 68 pekee ni aibu. Kwa analysis hiyo naona wachimbaji wadogo wanachangia pakubwa kuliko hao wachimbaji wakubwa na tunasema Sheria ya Madini tunapata 50% kwa 50% kwanini wanatudanganya?
  5. Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa Chama cha CUF, Prof Lipumba atema madini kupitia kipindi cha Dakika 45

    Ikiwa ni kipindi cha wagombea kunadi sera zao kwa wapiga kura kabla ya zoezi zima la mchakato wa kuwapata viongozi Wakuu wa kitaifa hapo Oktoba 28, Mgombea Urais kupitia Chama cha Civic United Front (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mahojiano katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kupitia...
  6. JE MADINI HAYA YANAWEZA KUWA NA FAIDA?

  7. 50% kwa 50% kwenye madini yetu. Tuna cha kujifunza kuondolewa kwa Laurent Gbagbo wa Ivory coast

    Salaam wanaJF. Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani...
  8. S

    Kama katika uongozi wa miaka mitano ya Bunge Magufuli alichoona cha maana kwa Ndugai ni kuundwa Kamati ya Madini tu, basi Ndugai hafai kuwa Spika

    NImeshangaa sana. NImeona upungufu mkubwa kwa upande wa Magufuli, kwamba katika sababu ambazo angependa Ndugai arudi kuwa Spika baada ya uchaguzi, ya maana kuliko zote ni hiyo ya kuunda kamati ya madini. Kwangu ina maana Magufuli kimsingi anakiri kwamba hakuna cha maana alichofanya Ndugai...
  9. S

    Wakati Serikali ikinunua jiwe lingine la madini ya Tanzanite tujikumbushe historia ya madini haya

    Historia ya Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite. Marehe mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mtoto Wa Mfugaji. Alizaliwa Katika Kijiji Cha Marwa, Wilaya Same Mkoa Wa Kilimanjaro, Wazazi Wake Walihamia Mererani Wakitokea Kijiji Cha Marwa Kwa Ajili Ya Kutafuta Malisho Ya Mifugo Yetu. Alipokuwa Mdogo, Alikuwa...
  10. Ndugu yetu alitaka kuwa tajiri kama Laizer kwa madini amefariki kazini

    Afariki kwa kupondwa jiwe kichwani akichimba madini. Mkazi wa Kijiji cha Masungura wilayani Meatu, Simiyu Michael Salum (30), amefariki dunia kwa kupondwa na jiwe kichwani wakati akichimba dhahabu ndani ya duara katika machimbo ya Mwakitolyo, wilayani Shinyanga. Ofisa Madini Mkoa wa Shinyanga...
  11. Kupelekwa Madini ya Tanzanite kwenye maonesho Marekani

    Habari zenu Wadau Leo katika Habari za Biashara ITV nimesikia kuna kampuni moja inataka kuandika barua kuomba madini ya Tanzanite tuliyoyanunua kwa bei ghali zaidi na makubwa zaidi dunia nzima yaende USA kwenye maonesho. Yafutayo ndio niliyojiuliza Mosi, Ingawa wazo ni zuri ila tunauhakika...
  12. E

    Waziri wa Madini, Dotto Biteko tunasubiri tamko la Serikali kuhusu mauaji ya wachimbaji wadogo wadogo

    Kufuatia mauaji ya wachenjuaji wapatao wanne waliokatwa mapanga huko ntambalale kahama niwakati sasa wachimbaji wapewe hadhi yao katika kazi zao kwa kupewa ulinzi ktk maeneo yao yakazi. Haiwezekani kila siku media zinawasifu wachimbaji wadogo kwa kuongeza mapato ya serikali lakini usalama wao...
  13. Nahitaji msaada wenu ninakaribia kupoteza files ambazo nimeyatunza miaka mingi sana

    Wadau wa JamiiForums habari yenu, Kuna files ambazo ni nyeti sana nilizi-ZIP na ku-Encrypt kwa password mwaka 2008-2009. Bahati mbaya sana nimesahau Password yake tayari nimehangaika sana pasipo mafanikio kila "Password" nimejaribu. Je, kuna mtu anaweza niambia nifanye nini? Maana nimejaribu...
  14. Mrejesho: Biashara ya madini aina ya dhahabu

    Habari za mda huu mabilionea wa sasa na wajao. Tumaini langu mnaendelea vema na harakati za kutimiza ndoto zenu. Ni kama mwezi nilikuja kuomba msaada kwa wajasiliamali wenzangu juu ya biashara ya dhahabu. Nishukuru watu walitoa uzoefu wao, wapo walionitaadhalisha juu ya songombingo zilizopo...
  15. Mchimbaji aula kwa kupata mawe ya Tanzanite ya thamani ya Tsh. Bilioni 7.8

    Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila amesema kuwa leo wizara inamtabua mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite, Saninniu Laizer kuwa bilionea baada ya kupata mawe makubwa mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8. Mchimbaji huyo amepata mawe hayo mawili ambapo moja lina kilo...
  16. Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

    Na Malisa GJ Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni. Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
  17. J

    Wabunge wa CHADEMA mnaohamia CCM, huku hakuna kuandikiwa hotuba, hoja wala maswali itawalazimu mjifunze kutema " madini"

    Wote ni mashahidi kwamba wabunge wanaotoka Chadema na kuhamia CCM huwa wanashindwa kujieleza kabisa japo bunge ni lile lile. Waangalie akina Dr Mollel, Ryoba, Ole millya, Gekue na hata Waitara uwezo wao wa kujenga hoja na kuuliza maswali ni mdogo sana tofauti na walivyokuwa Chadema. Kuna wakati...
  18. Msaada watalaamu wa Madini

    Habari wakuu haya Madini Aina gani?
  19. S

    Kifaa cha kupimia madini ardhini (gold detector machine) kinauzwa kwa bei ya 5.5mil

    KIFAA CHA KUPIMIA MADINI ARDHINI(GOLD DETECTOR MACHINE) BEI: 5,500,000 (MIL 5.5) NAME : EQUINOX 800 MAHALI KIFAA KILIPO: DAR ES SALAAM KIPO KWENYE HALI NZURI TEL : 0759707883/ 0683126500
  20. N

    Hivi hawa viongozi wa Marekani wanatumia mbinu gani kumwaga madini kwa muda mrefu hivi?

    Namwangalia huyu Gavana Cuomo wa New York kupitia Fox News akimwaga maneno yalipangilika vizuri kuhusu corona kwa muda mrefu sasa, zaidi ya saa moja na zaidi. Ukimwangalia haonekani akisoma popote pale (labda kama sielewi). hakuna blah blah blah, ni madini tupu. Nawakumbuka kina Obama na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…