Wataalamu wa ujenzi, ni ukubwa gani wa dirisha unatosha kiafya achilia mbali suala la mwonekano wa nyumba.
Nimejaribu kuzitazama nyumba za Sudan Khartoum kutokana na hii vita, nimeona nyumba zao nyingi hadi maghorofa yana madirisha madogo madogo. Je, hii imesababishwa na nini kitaalamu wadau wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.