Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh. 100,000/=. Nahitaji flat bar iliyoshiba. Ni vizuri pia ukinionyesha 'sample' za kazi ulizofanya...