Wananchi na madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekataa kuendelea na mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwalo wa Katonga, wakidai ameshindwa kutekeleza mradi kwa wakati na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara waliokosa maeneo ya kufanyia...