madola

74503 Madola, provisional designation 1999 DN4, is a background asteroid from the outer region of the asteroid belt, approximately 4.5 kilometers in diameter. It was discovered on 23 February 1999, by Canadian astronomer Denis Bergeron at the Val-des-Bois Observatory in Quebec, Canada. The asteroid was named for the three Canadian astronomers Christian Marois, René Doyon and David Lafrenière.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Samia

    Waziri Kombo aeleza yaliojiri CHOGM, Katibu Mteule wa Jumuiya ya Madola atuma salamu kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  2. Richard

    Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  3. JanguKamaJangu

    Gabon yasimamishwa Uanachama wa Jumuiya ya Madola baada ya kutokea kwa Mapinduzi

    Uamuzi huo umechukuliwa wakati huu Gabon ikiwa chini ya utawala wa Kijeshi ambao ulimtoa madarakani Rais Ali Bongo. Uamuzi huo umetolewa na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola huku wakitoa hoja kuwa Gabon inatakiwa kufanya uchaguzi haraka iwezekanavyo. Jeshi lilimwondoa Bongo...
  4. olimpio

    Rais Mwinyi aongoza kikao cha jumuiya ya madola kinafanyika zanzibar kuhusu mageuzi ya kidigitali

    Kuanzia jana na leo , kuna kikao kikubwa sana kinachofanyikia Zanzibar ,kilichoratibiwa na wizara ya TEHAMA chini ya waziri Nape Nnauye Pamoja na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar. Jumuia ya madola inafanyia kikao hicho kwa mara ya kwanza nchini Tanzania , haya yakiwa matunda ya jitihada za...
  5. BARD AI

    Ally Mayay ateuliwa kuwa Mwakilishi katika Bodi ya Ushauri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3. Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi...
  6. DENG XIAOPING

    Tanzania tujitoe Jumuiya ya Madola

    - Habari za muda huu wana jamii wenzangu, natumai ni njema. - Nilikuwa na dukuduku kuhusu uwepo wa taifa letu la Tanzania Jumuiya ya Madola, dukuduku langu limezaa maswali kadhaa yenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wana jamii wenzangu. 1. Kwanini Taifa la Tanzania lipo Jumuiya ya Madola? 2...
  7. J

    India yawapa Medali mashujaa wa Madola

    INDIA YAWAPA MEDALI MASHUJAA WA MADOLA Na John Mapepele Serikali ya India imewapongeza mashujaa wa Tanzania waliorejea na medali kutoka kwenye mashindano ya Jumuiya ya Madola yaliyomalizika hivi karibuni nchini Uingereza. Zawadi na Medali hizo zimetolewa na Ubalozi wa India kwa wachezaji...
  8. Melubo Letema

    Kutoka Jumuiya ya Madola : Njaa zinabadili Upepo wa Mbio za Uwanjani Hadi Marathon

    Bofya Hapa Kumsikiliza... Njaa zinabadili upepo wa Riadha Mwanariadha wa Mbio za uwanjani, Mita 5000 ( Track and Field) Faraja Lazaro, ameshauri wahusika wa Riadha, wawekeze kwenye mashindano ya Uwanjani , Pamoja Serikali kuweka fungu Ili Wanariadha wasihame kwenda kwenye Marathon, ambapo Pesa...
  9. Melubo Letema

    Tanzania tumeambulia Medali 3 Jumuiya ya Madola Uingereza

    Baada ya Medali ya Kwanza ya Fedha kutoka Kwa Mwanariadha Alphonce Felix Simbu aliyoipata kwenye Mbio Ndefu Marathon Tarehe 30/07/2022, Leo Jioni Tanzania imehitimisha ngwe ya ndondi kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwa kupata medali mbili za shaba baada ya bondia wake wa pili Kassim...
  10. Roving Journalist

    Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
  11. JanguKamaJangu

    Jumuiya ya Madola 2022: Tanzania yajihakikishia medali, Bondia aingia nusu fainali

    Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza. Kutokana na matokeo hayo, Tanzania imepata uhakika wa medali katika michezo hiyo. Kabla ya hapo, Changalawe...
  12. Melubo Letema

    Jackline Sakilu amrithi John Akhwari

    Mkimbiaji wa marathon kwa wanawake Jackline Sakilu jana alifanya kilichofanyika na mwanariadha Mtanzania mwingine John Stephen Akhwari katika mashindano ya marathon katika Michezo ya Olimpiki mwaka 1968 huko Mexico City. Sakilu, akiwa na Mtanzania Mwenzake Failuna Matanga (huyu alimaliza wa...
Back
Top Bottom