madrid

  1. S

    Alieelewa sababu za penati ya Atletico Madrid kukaliwa anieleweshe

    Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
  2. Pdidy

    HT: Atlético Madrid 1 - Real Madrid 0. Atlético Madrid wakishinda, njoo inbox nikupatie 10,000

    Rejea kichwa cha habari HAPO juuu Iwapo ATL MADRID atashinda naomba songa inbox aka pm Kupokea ten thousand All d best Masharti na vigezo kuzingatiwa Cc Mbappe Cc Vic jr Cc Cc Cc
  3. Teko Modise

    Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

    Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya. Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi. Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani. Leo ni...
  4. Acehood

    Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid

    Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid
  5. Shooter Again

    Nataka kuagiza jezi ya Madrid ila naona website haifunguki

    Wakuu nataka kuagiza jezi original ya Madrid ila Kila nikifungua website Yao haifunguki Hawa jamaa shida itakua nini naombeni anaejua maana Nataka kuagiza jezi tatu zote wakuu
  6. Shooter Again

    Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

    Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
  7. Shooter Again

    Rasmi nimeongeza timu ya kushangilia ambayo ni Real Madrid ili nifurahie makombe

    Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu sahihi kwangu kunipa furaha sababu ni wababe wa dunia kwenye suala la soka na niseme ukweli tu nilikua...
  8. Minjingu Jingu

    Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  9. Damaso

    Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

    Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi, amekuwa akipitia kipindi kigumu cha kutengeneza matokeo katika timu yake mpya. Kuhama kutoka klabu kubwa...
  10. Teko Modise

    Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

    Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico. Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu, Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto. Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida. Nini kitatokea? Nani atafungwa? Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
  11. JanguKamaJangu

    Deschamps ashangaa Mbappe kuipotezea Ufaransa upande wa pili akubali kuichezea Real Madrid

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid. Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
  12. Last Seen

    Mtoto wa Zidane, Enzo astaafu soka akiwa na Umri wa miaka 29

    Enzo Zidane, mtoto wa Zinedine Zidane, ameamua kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 29. Enzo aliwahi kuchezea klabu ya Real Madrid na vilabu vingine, lakini sasa ameamua kustaafu soka. Enzo Zidane alianza safari yake ya soka akiwa bado kijana mdogo, akifuata nyayo za baba yake Zinedine Zidane...
Back
Top Bottom