madudu

Esther Madudu (Born in 1980) is a Ugandan midwife. Madudu has had nearly 15 years of experience first at a maternity home in Kumi District, and now working at Tiriri Health Center IV in Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  2. PAC yabaini madudu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kasoro kadhaa katika utekelezaji wa Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato, jijini Dodoma, zikiwemo ajira kwa wahandisi wasiosajiliwa, ujenzi bila vibali, ongezeko la gharama, na ucheleweshaji wa malipo. Mwenyekiti wa PAC...
  3. TFF na Bodi ya ligi eti hawaoni madudu ya waamuzi wao.

    Refa kaongeza dk 5 kipindi cha kwanza na dk 9 kipindi cha pili na dk 4 nyongeza yake kwenye mechi moja. Yaani nyongeza ya dk 5+9+4 = 18 . Hii ni aibu ya kipumbavus. Mwamuzi anaongeza dk kutokana na timu ipi huwa ina tabia ya kushinda na ipi inashambulia zaidi. Timu ipi inatakiwa isawazishe na...
  4. M

    Wizara ya TAMISEMI na Wizara ya Elimu nendeni Ifakara mkajionee madudu

    Kuna walimu wakuu shule za msingi takribani 19 wameenguliwa nafasi zao bila Sababu za msingi. Jambo la ajabu ni kwamba:- 1. Walimu hao 19 wamepokea barua za onyo mwezi January Mwaka huu. Barua za onyo zinaonekana zimeandikwa na kusainiwa na mkurugenzi tangu mwezi December mwaka jana. 2. Barua...
  5. M

    TAMISEMI rekebisheni madudu haya mliyofanya kwenye selection za wanafunzi wa kidato cha Kwanza 2025

    Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa halikuwahi kujitokeza bali lilianza kuonekana kwenye selection za mwaka 2023 na mwaka huu. Nipo tayari...
  6. Mbowe ni muhimu ukajitokeza hadharani,na useme kuwa hautagombea, bila hivyo madudu mengi yatawekwa peupe

    Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya uongozi wako. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
  7. Mnaopata kiungulia kila Ripoti ya CAG ikitolewa oneni madudu yanayotokea kwenye nchi za wazungu

    Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani zinaonyesha kuwa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inashindwa kupitisha ukaguzi wa hesabu...
  8. LGE2024 Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA, Rose Mayemba alivyoliamsha baada ya kubaini madudu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Njombe Rose Mayemba amedai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika jana, Novemba 27.2024 nchini kote haukuwa uchaguzi kama ilivyodhaniwa badala yake ilikuwa ni oparesheni kuwashughulikia wapinzani nchini Rose ameeleza hayo...
  9. LGE2024 Madudu kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2024

    Jana tumepata wasaa wa kushuhudia Uchaguzi wa Serikali za mitaa tuliosubiria kwa muda mrefu. Licha ya kuwa umefikia idadi ya chaguzi Tisa (9) Toka uanze kufanyika hapa nchini lakini bado kuna Mapungufu makubwa. Mosi ni msimamizi wa uchaguzi huo ambaye ni TAMISEMI ambaye na yeye anahusika kwenye...
  10. R

    Pre GE2025 Uchaguzi ni mchakato, kama kujiandikisha, kuteuliwa, na kuapishwa kumekuwa na "madudu" sahau kuwa kesho kuna haki yoyote itatendeka kwa wapinzani

    Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
  11. J

    DOKEZO TAMISEMI - Chunguzeni Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Kuna madudu pale

    TAMISEMI, hapa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kuna madudu, tafadhali chunguzeni hawa wafanyakazi wenu. Huu ni mwaka wa 4 sasa nafuatilia malipo yangu sipati ushirikiano wowote toka kwenye hii Halmashauri, kila ninayeambiwa nimfuate ananipiga chenga na kunipa majibu ya kijinga yasiyo na...
  12. LGE2024 John Mrema aanika madudu ya TAMISEMI, waongeza sifuri na herufi kuwakosesha sifa Wagombea

    Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa fomu za wagomea wao zimechezewa: "Kilosa kule mkoani Morogoro wagombea wetu (wa uchaguzi wa serikali za mitaa) wameenguliwa bada ya fomu zao kuchezewa, wasimamizi wamesahau...
  13. T

    LGE2024 CHADEMA yajipanga kuzuia watoto kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, wabaini madudu haya

    Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha CHADEMA kimebaini udanganyifu katika mchakato wa uandikishaji wa wapiga kura. Mawakala wa chama hicho wamegundua kuwa kuna wanafunzi ambao wamejiandikisha ili kupiga kura, ingawa hawajafikisha umri wa miaka 18. Wanafunzi hawa...
  14. Pre GE2025 Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu

    Habari zenu wanabodi, Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Msigwa kwenye mahojiano hayo alifananisha CHADEMA na SACCOS kutokana na namna ambavyo chama hicho kinaongozwa kama biashara...
  15. Madudu ya APP za mikopo online.Wizara husika Mnakazi gani ofisini??? #Wizara ya Fedha #Wizara ya Mawasiliano (TCRA)

    Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika. Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
  16. Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

    Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia. Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa. Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao. Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na...
  17. Sakata la NHIF na madudu ya Mashirika ya umma

    KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma yanayopelekea kudhorota kwa uendeshaji kunako sababishia hasara taifa. Mgomo huo uliotolewa na baazi...
  18. Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Kwanza tukubaliane katika uendeshaji wa nchi...
  19. R

    Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  20. Wajuba wa Ukraine wadukua email ya mkuu wa majeshi wa Urusi na kuanika madudu mengi tu

    Watoto wa mjini wamedukua email ya mkuu na alivyokua mjinga alitumia email yake kuwasiliana hata kwenye baadhi ya mambo muhimu na nyeti yakiwemo mikakati na hata madudu waliyoyafanya.... ================== ROMAN ERSHOV. PHOTO: NATIONAL RESISTANCE CENTER Ukrainian activists from the Cyber...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…