Maduka mengi katika mtaa wa kifahari wa nguo na bidhaa za bei mbaya wa Via Montenapoleone ambapo kuna chapa maarufu kama Chanel, Tiffany na Dior yaliondoa bidhaa zao kwenye madirisha ya maonyesho ili kuchukua tahadhari.
Maandamano hayo kupanda kwa gharama za maisha, huduma mbovu za jamii na...