maduro

  1. Yoda

    Marekani yaweka dau nono la $25M kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro

    Serikali ya Marekani imetenga dau la $25M kwa yeyote atakayesaidia au kufanikisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa makosa ya ugaidi wa dawa za kulevya(Narco- terrorism). Serikali ya Marekani inamtuhumu Maduro na viongozi kadhaa waandamizi wa Venezuela kufanikisha, kuchochea...
  2. Gemini AI

    Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  3. Sam Gidori

    Marekani yakana kumfahamu jasusi aliyekamatwa Venezuela

    Raia wa Marekani anayeshikiliwa nchini Venezuela kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo hakutumwa na serikali ya Marekani, taarifa ya kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani imebainisha. Mwendesha Mashtaka mkuu wa Venezuela, Tarek Wiliam Saab alitangaza siku ya Jumatatu kuwa...
  4. Sam Gidori

    Maduro: Tumemkamata Jasusi wa Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo. Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia televisheni ya taifa katika matangazo ya moja kwa moja akimweleza jasusi huyo kuwa ni mwanajeshi wa...
  5. Richard

    Serikali ya Venezuela yadai dhahabu yake ilohifadhiwa benki kuu ya Uingereza. Je, Tanzania nayo ina dhahabu BoE? na je, ina thamani ya kiasi gani?

    Serikali ya Venezuela imefungua kesi ya madai nchini Uingereza kudai kiasi cha dhahabu yake yenye thamani ya dola bilioni 1 ilohifandhiwa katika benki kuu ya Uingereza. Kesi hiyo itakayosikilizwa kwa siku nne mjini London itahusisha pande mbili ambapo ni wawakilishi wa serikali ya Venezuela na...
  6. isajorsergio

    Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela | República Bolivariana de Venezuela

    | Jamhuri ya Bolivia ya Venezuela, Bolivarian Republic of Venezuela au República Bolivariana de Venezuela Ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini katika uwanda wa juu wa Caribbean, likiwa limepakana na Colombia - Magharibi, Brazil - Kusini Mashariki, Guyana - Mashariki, Trinidad na...
Back
Top Bottom