RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho.
Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki.
Mamlaka...
Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma.
1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache hazijafika mwingine anafanya hivyo. nilipouliza mmoja akaniambia wanaweza kuscan 500 hadi 3000...
Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how?
Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III.
Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
Anonymous
Thread
kero
kubwa
maegesho
mamlaka
ndege
parking
taa
viwanja
viwanja vya ndege
Kuna tukio limetokea naona ni vyema niwaambie na wengine ili muwe waangalifu. Nina kawaida ya kuingia termis ya TARURA kucheki gharama ya maegesho na wakati fulani hupata alert za kuonesha ninachodaiwa.
Nimekuwa nikilipa kweli. Nikaamua kufuatilia hizo bili. Kucheki, nyingi huwa gari haitumiki...
Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=,
Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake.
Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
====...
Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni!
Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera!
Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license!
Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile!
Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki!
Sasa...
Siamini kabisa kwamba kuna wasomi walikaa sehemu wakajadili na kulipana posho za kikao kwamba:
Magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho (parking) Yaanze kufungwa minyororo ili kushinikiza wamiliki kulipia tozo hizo.
Huu ni utaratibu wa hovyo sana
1. Huu utaratibu ni Hovyo kwasababu...
USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA
Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu
1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3.
2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika.
3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.