Naripoti kutoka Morogoro manispaa:
Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na utaratibu.
Ukiegesha gari bila kujali katika maegesho rasmi ya Manispaa au popote pale anakuja mtu wa...
Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how?
Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
Tanzania ni nchi nzuri sana, Amani, Uhuru na Utulivu ni wa kutosha, Ila ni nchi iliojawa na viongozi wazembe sana japo ni wasomi sana
Tumekua tukiamini sana katika Uwekezaji hasa kwa Raia na Taasisi za kigeni kuliko kuwekeza na kusimamia sisi wenyewe?
Serikali haifanyi Biashara ila inatoa...
Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo;
1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1.
2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
====...
Wanaopaki magari muhimbili kuanza kulipia
5.4.2023
WANAOPAKI magari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili watalazimika kulipia ili kuondoka changamoto ya msongamano wa vyombo vya usafiri vinavyoingia hospitali hapo.
Profesa Mohamed Janabi.
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali hiyo, Profesa Mohamed...
TAARIFA KWA UMMA
KUSITISHA KWA MUDA UTOZAJI WA FAINI ZA USHURU WA MAEGESHO YA MAGARI
Dodoma 8 Aprili, 2022
Ikumbukwe kuwa mnamo tarehe 07/04/2022 Wakala wa Barabara za Vijijini na MijiniTARURA ilitoa taarifa ya kuanza kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho waliopitisha Siku 14 bila kulipa...
Habari wadau,
Zoezi la kuhamisha wamachinga waliokuwa wameziba njia za watembea kwa miguu lilifanyika kwa malengo mengi ikiwa ni pamoja na watembea kwa miguu kupata njia za kupita. Wenye magari nao walikuwa walalamikaji wakubwa juu ya kero hiyo ya wamachinga kuziba barabara.
Baada ya zoezi la...
Utaratibu huu mpya hasa jiji la Dar es salaam kuhusu tozo za maegesho ya gari wahusika wautizame upya.Sipingi kuhusu toz hii bali utaratibu siyo mzuri na unaleta urasimu au usumbufu kwa watumiaji wa magari pale wanapoegesha.
Sasa hivi ukiegesha gari waliopewa jukumu kusimamia wana scan na...
- Asema watekelezaji hawana weledi na kusababisha kero na taharuki.
- Aitisha kikao Cha dharuracha Wakurugenzi na TARURA kujadili.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla ameonyesha kukasirishwa na utaratibu usiofaa wa ukamataji wa magari kwenye maegesho yasiyo rasmi "wrong parking"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.