maegesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia Aagiza Ujenzi wa Maegesho ya Malori na Taa Dakawa na Kibaigwa

    RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI WA MAEGESHO YA MALORI NA TAA DAKAWA NA KIBAIGWA Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa maegesho ya malori na taa za barabarani katika miji ya Dakawa na Kibaigwa katika barabara ya Morogoro - Dodoma ili kupunguza ajali na kukuza biashara katika miji hiyo...
  2. Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  3. DOKEZO Mkurugenzi wa Jiji Dodoma fuatilia watoza huduma maegesho wako!

    Niliamua kutembelea waifu kwa wiki kama 2 Dodoma nimegundua kitu fulani cha ajabu sana kwenye maegesho ya magari Dodoma. 1. ukiegesha gari, mtu anakuja kuscan namba ya gari, hata dakika chache hazijafika mwingine anafanya hivyo. nilipouliza mmoja akaniambia wanaweza kuscan 500 hadi 3000...
  4. Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  5. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), hili la maegesho (parking) ni kero kubwa

    Leo nimeshangaa pale nilipoegesha gari Terminal 2 kwa saa 72 na kudaiwa 75,000 za maegesho na kuambiwa kuwa “Long term parking” inahesabiwa ukiegesha Terminal III. Kwanza, kaka aliyekuwa pale nikamuomba anisaidie (najua kuna uwezekano huo kwani mfumo unaona wazi gari limekaa muda mrefu hivyo...
  6. B

    Kudaiwa maegesho yasiyo halali

    Kuna tukio limetokea naona ni vyema niwaambie na wengine ili muwe waangalifu. Nina kawaida ya kuingia termis ya TARURA kucheki gharama ya maegesho na wakati fulani hupata alert za kuonesha ninachodaiwa. Nimekuwa nikilipa kweli. Nikaamua kufuatilia hizo bili. Kucheki, nyingi huwa gari haitumiki...
  7. Parking system: Watoza ushuru wa maegesho wanataka kuniibia au ndio wameshaniibia?

    Nilienda ofisini kwao na kulalamika kwamba wanachaji pesa nyingi kwa siku 6,000/=, Nikapelekwa ofisi ya mhasibu akanambia kuna vifurushi unaweza kuchagua, kidogo vina bei nafuu, basi nikachagua kifurushi cha mwezi kwa 50,000/= ajbu nimelipia 50,000/= na bado kwenye malipo ya kila siku...
  8. KERO Ushuru wa maegesho umegeuka kuwa wizi usiotumia mabavu wa serikali dhidi wananchi wake

    Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na kukusanya ushuru huo kwa kuvitoza vyombo vya moto vilivyoegeshwa wanafanya hivyo kimyakimya bila kuacha...
  9. A

    Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

    Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo; 1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1. 2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe). ====...
  10. D

    Gari kulipishwa tozo za maegesho wanasheria walipaswa kuishitaki serikali mahakaman ni utapeli

    Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni! Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera! Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license! Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile! Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki! Sasa...
  11. D

    Kufunga minyororo magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho mijini ni utaratibu wa ovyo kabisa

    Siamini kabisa kwamba kuna wasomi walikaa sehemu wakajadili na kulipana posho za kikao kwamba: Magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho (parking) Yaanze kufungwa minyororo ili kushinikiza wamiliki kulipia tozo hizo. Huu ni utaratibu wa hovyo sana 1. Huu utaratibu ni Hovyo kwasababu...
  12. S

    Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
  13. Kuongelea kero ya maegesho, Chalamila umechukua heshima yangu!

    Hawa jamaa wamekithiri mno kunyanyasa watu. Nashukuru kuwa mamlaka imegundua kuwa wanatumia vibaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…