maelewano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tangu mke wangu apate ujauzito maelewano yamepotea na unyumba nanyimwa

    Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito, 1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story 2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani. 3...
  2. Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  3. Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  4. Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

    Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
  5. Watoto wa juzi hawezi kuelewa

    Way way back, Hizi chuma kipindi tunakuwa zingine zilikuwa zinafichwa kwenye kabati. Mambo yetu yale pale, mezani zinawekwa za lufufu tu sasa ujichanganye ukaweke za mzee kwenye deki na umeme ukatike ibaki humo.
  6. Mawasiliano ya kitamaduni yahimiza maelewano kati ya watu wa China na Afrika

    Mwandishi mwenye asili ya Tanzania aliyeshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021 Abdulrazak Gurnah, hivi karibuni alitembelea China na kuzungumza na mwandishi wa China Mo Yan, ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Katika miaka ya hivi karibuni, mawasiliano ya utamaduni kati ya...
  7. Tuombee upinzani Tanzania umoja, maelewano, kupendana, kuheshimiana kuaminiana na kusikilizana

    Afya, ustawi na kushamiri kwa Demokrasia, Haki, Usawa na Maendeleo yoyote duniani mathalani kiuchumi, kijamii au kisiasa, huchochewa sana kwa namna moja ama nyingine, na uwepo na msukumo wa upinzani imara wenye, sauti moja , nia moja, mipango madhubuti, lengo na uelekeo mmoja. Tumuombe Mungu wa...
  8. Maelewano ya Jamii ni Muhimu kuliko Faida za Ki-Uchumi

    Maelewano na mshikamano ni Priceless - Kwahio chochote kile hata kama kina faida kiasi gani za kifedha hakiwezi kuziba pengo litakaloweza kuachwa na Jamii kutokuelewana.... Mfano kuna Wadau walienda vijijini kuwajengea watu nyumba za Kisasa kwa gharama kubwa na zingekuwa faida sana kwao (mwisho...
  9. Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

    Be warned, This post is strictly for God's Believers. If you'll find it useless, you're strongly advised not to provoke or outrage targeted Audiences. Natumaini nyote mko salama, and so do I. Tatizo la wa toto kutoku[patina na wazazi lipo sana, haijalishi ni mzazi wa kiume au wa kike wengi...
  10. INAUZWA Vifaa vya saluni ya kike vinauzwa maelewano yapo

    done
  11. D

    INAUZWA Urine Chemistry Analyzer AX-1688 inauzwa bei maelewano

    Hii machine inapima mkojo maabara ni ya kisasa inatumia strips ambazo zimeundwa kwaajili ya hii machine ( strips za machine moja haziingiliani na machine nyingine kama manufacturers ni tofauti) inaprint majibu hapo hapo, hahitumii muda mwingi ukilinganisha na toleo la zamani. Ni nzuri na imara...
  12. I

    Ndoa ni box tupu, unahitaji kuwekeza ili uvune

    Watu wengi wanaingia kwenye ndoa kwa matarajio kuwa maisha ya ndoa ni raha mustarehe. Mnaelewana na mwenza wako nae atakua rafiki yako. Ukweli ni kuwa, ndoa ni box tupu, unahitaji kuwekeza ili uvune. Hakuna mapenzi kwenye ndoa bali ni watu wawili wanaopendana wanaingia kwenye ndoa. Ingiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…